Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

Peleka kaniki
Nitampelekea Dj. Nitakutumia picha yake akicheza muziki na Tshalla Muana mwaka 1991 pale club iliyovunjwa wakati huo wewe ukiwa bado uko Machame unahangaika na kahawa
 
Nitampelekea Dj. Nitakutumia picha yake akicheza muziki na Tshalla Muana mwaka 1991 pale club iliyovunjwa wakati huo wewe ukiwa bado uko Machame unahangaika na kahawa
Insane
 
Terrorist ni gaidi yaani mtu anayetishia au kuogofya watu kwa matendo yake yawe ya kusema, ama kufanya.

Mtu anayesema, damu itamwagika ( Mbowe, akiwa Kinondoni) ni nani?

Mheshimiwa F. T. Sumaye alitaka kugombea uongozi Chadema, ikasemwa aliambiwa na Mtu ,nadhani Free, kuwa sumu haionjwi kwa ulimi. Je ni nani?

Majibu ya maswali haya yatapatikana mahakamani. Tuiache mahakama ifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom