Msanii Avril akanusha kutafunwa na Msanii Diamond

Msanii Avril akanusha kutafunwa na Msanii Diamond

I wish pple wud u/stand wat I meant. Hii mada, Avril anasema yeye na Diamond r bt jst frds. So headline shud av bn...AVRIL AKANUSHA KWAMBA KATAFUNWA NA DIAMOND.
 
I wish pple wud u/stand wat I meant b4 exposing their stupidity. Hii mada, Avril anasema yeye na Diamond r bt jst frds. So headline shud av bn...AVRIL AKANUSHA KWAMBA KATAFUNWA NA DIAMOND.
Haha nakuelewa sasa
 
Niliwahi kusikia Avril mwenyewe anapenda kuzama chumvini pia.
 
Huyo dem kama wengine tu! Awe katafuna au hajatafuna sio big deal!
 
Nataka nimsukie Rwanda sasa...

Mond go....[emoji3][emoji3]
 
Uko sawa kakaa! Heading ilitakiwa iwe hivi: "Avril akanusha kutafunwa na Diamond"
Uko sahihi kabisa Mkuu kwa 110%,
Umeanza na (-ve) x (+ve) = (-ve)

Mtoa mada angeweza pia kusema
Avril athibitisha hajatafunwa na Diamond
Yaani (+ve) x (-ve) = (-ve)

Watu wanabisha wakati kiswahili chenyewe wamekijulia ukubwani.
 
"Katafuna"
Wanaume wa Dar wanaoweza kutafunatafuna ni wachache sana.
Wengi wanatafuniwa!
☺☺
 
Hata Uwoya alikanusha Na mondi wakati aliliwa
Avril naimani aliliwa Na mondi swala la kuliwa ni siri ya 2 WA 3 in malaika muwandika mazambi
 
Back
Top Bottom