secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hana tofati kubwa na mtu anayeropoka baada ya kuamshwa ghafla kutoka usingizini, utafikiri hana ubongoHajui kurap au harap kama unavyotaka wewe?
Iweje msanii mkubwa kama Stamina anakubali kuanya colabo na Bando, nadhani hapa tatizo linaanza kwa hao wanaokubali kufanya naye kolabo kwa maana hao ndio wanaomfanya aamini kuwa anaweza.MImi nimfutiliaji sana wa mziki hasa hasa afrika,maana natazama sana tv nikipata muda pia huwa nasikiliza redio karibia kila siku
BAdo mtandaoni nipo sana nafatilia sana mambo ya wasanii cha ajabu nilikuwa simjui bando mc
Kuna kipindi aliamua kufanya show za chaka kwa chaka mpaka akafika huku kwetu,nikaja kushutuliwa na wana kuwa kuna msanii kaja anataka kufanya PA ya show yake,nikawauliza ni msanii gani eti bando mc,nikawauliza ni wa nyimbo za asili,wakasema hapana eti ni wa bongo fleva ikabid nicheck youtube nikashangaa kukuta ngoma zake na tena kaimba na wasanii wakubwa tu,nilishangaa sana
Hata hvyo PA nilifanya siku moja tu,kesho yake nikawagomea maana niliona nikama tunajichoresha mtaani msanii mwenyew hata watu huku kwetu hawamjui
Kuna rafiki yangu kwenye simu yake kajaza nyimbo zake, ili urafiki wetu usivunjike nikawa natembea na pamba za masikioni na Kila aliipopiga ngoma yoyote ya Bando basi mi niliweka pamba masikioni kwa kisingizio cha kusumbuliwa na masikio.Hawezi kurap anarap kama watoto 😂
🤣🤣🤣 Mi nilishawahi kumwacha demu wangu kisa alimwuliza shosti yake eti "huo ndo ule wimbo mpya wa BANDO MC". Yaani kiufupi huwezi kuwa rafiki yangu halafu unashabikia wasanii mithili ya Bando.Kuna rafiki yangu kwenye simu yake kajaza nyimbo zake, ili urafiki wetu usivunjike nikawa natembea na pamba za masikioni na Kila aliipopiga ngoma yoyote ya Bando basi mi niliweka pamba masikioni kwa kisingizio cha kusumbuliwa na masikio.
Hatimaye utabiri umetimia."Ile dhana ni uhuni wameleta hawa katuni
Kuna ku-rap na kumbwata
Ma-reaper na ma-rapper
Katuni, Tungo tata
Wapi ulipo we jaku?" Solo Thang, Mtazamo
Madingi walishatabiriHatimaye utabiri umetimia.
Hivi hawa wasanii kwa nini wasikae chini na kuandika mistari inayoeleweka mbona Kiswahili ni kirahisi mno, wakiambiwa warap kiingeza itakuwaje.Madingi walishatabiri
Duh! Umenifurahisha sana.Kwamba mi sipendi ugali
Ndo maana mchana silali
Nibora niwe tapeli
Ili niupate wali
Niule na pilipili
Jumatatu hadi jumapili.
Sisi wanamuziki wa mwendo wa kufokafoka tukikutana na mtu anaimba mfano wa hivyo tunajua kabisa hamna mtu hapo, ila wasiojua mziki watamuona ni mkali
Haswa!Madingi walishatabiri
Halafu baada ya muda utasikia anasema pengo lango halizibiki nikifa wakati yeye ndo chanzo cha watu kuachana na hip-hop na kukumbatia taarab na singeli.Kwamba mi sipendi ugali
Ndo maana mchana silali
Nibora niwe tapeli
Ili niupate wali
Niule na pilipili
Jumatatu hadi jumapili.
Sisi wanamuziki wa mwendo wa kufokafoka tukikutana na mtu anaimba mfano wa hivyo tunajua kabisa hamna mtu hapo, ila wasiojua mziki watamuona ni mkali
Alikuwepo Coyo MC alikula Kona alipoona anazingua.Kuna na yule wa kuitwa Manengo nae hajawahi kumiliki tungo tata
Djaro arungu alikuwa anawabrand kisa wanatoka kanda ya ziwa.Alikuwepo Coyo MC alikula Kona alipoona anazingua.
Stamina ndo kamtoa Janja huyo....halafu kama humuelewi ni wewe usilazimishe na sisi tusimuelewe hip hop anayofanya yeye hata huyi Stamina anafanya sana tu na Young KillerIweje msanii mkubwa kama Stamina anakubali kuanya colabo na Bando, nadhani hapa tatizo linaanza kwa hao wanaokubali kufanya naye kolabo kwa maana hao ndio wanaomfanya aamini kuwa anaweza.