Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Kuna rafiki yangu kwenye simu yake kajaza nyimbo zake, ili urafiki wetu usivunjike nikawa natembea na pamba za masikioni na Kila aliipopiga ngoma yoyote ya Bando basi mi niliweka pamba masikioni kwa kisingizio cha kusumbuliwa na masikio.
Kwahiyo mkuu ukimshushia mtu heshima ina muathiri nini ?
 
Sina chuki bali nataka abalike kabla watu wengi hawamshtukia kuwa hajui, hebu sikiliza kwa makini mistari yake uone kama hutakubaliana na mimi.
Vijana singeli zimeshawaathiri tuwekee mfano wa huo msitari ambao huelewi
 
Ndiyo namsikia leo.

Lakini kumsema vibaya naona kama mnamuonea.

Mlivyomsema nikategemea mtu ambaye hawezi hata kuenda na beat, hana delivery, hana message.

Lakini, kwa kusikiliza wimbo wake mmoja tu "Sir God".

Naweza kusema.

1. Wimbo una uplifting message kwa watu wenye matatizo maishani.

2. Ameenda na beat vizuri.

3. Amezingatia sana mizani na vina, rhymes and meter, mstari kwa mstari, vitu ambavyo ma rapper wengi siku hizi hawazingatii.

4. Ameweka balance ya kuimba na kurap katika wimbo wake.

5. Ameweka vionjo vyake kuufanya wimbo uwe jazzy kwa sax, reminding me of Guru's Jazzmattazz.

6. The video is well thought out, reflecting life's trouble and a resilient uplifting spirit.

Huu wimbo angeuimba Profesa Jay ungekuwa bonge la hit.

Why the hate?

View: https://youtu.be/ic04D3RccZs?si=iw_mLfHzOEOmeujg
 
5. Ameweka vionjo vyake kuufanya wimbo uwe jazzy kwa sax, reminding me if Guru's Jazzmattazz.

6. The video is well thought out, reflecting life's troubke and a resikient uplifting spirit.

Huu wimbo angeuimba Profesa Jay ungekuwa bonge la hit.

Why the hate?

View: https://youtu.be/ic04D3RccZs?si=iw_mLfHzOEOmeujg

Huyu jamaa ana chuki binafsi na bando
 
Ndiyo namsikia leo.

Lakini kumsema vibaya naona kama mnamuonea.

Mlivyomsema nikategemea mtu ambaye hawezi hata kuenda na beat, hana delivery, hana message.

Lakini, kwa kusikiliza wimbo wake mmoja tu "Sir God".

Naweza kusema.

1. Wimbo una uplifting message kwa watu wenye matatizo maishani.

2. Ameenda na beat vizuri.

3. Amezingatia sana mizani na vina, rhymes and meter, mstari kwa mstari, vitu ambavyo ma rapper wengi siku hizi hawazingatii.

4. Ameweka balance ya kuimba na kurap katika wimbo wake.

5. Ameweka vionjo vyake kuufanya wimbo uwe jazzy kwa sax, reminding me of Guru's Jazzmattazz.

6. The video is well thought out, reflecting life's trouble and a resilient uplifting spirit.

Huu wimbo angeuimba Profesa Jay ungekuwa bonge la hit.

Why the hate?

View: https://youtu.be/ic04D3RccZs?si=iw_mLfHzOEOmeujg

Labda akiwezeshwa ataweza.
 
Abadili flow mfumo wake wa kuimba ni uleule. Aimbe kweny Drill au Trap kutupa radha mpya. Yeye anachobadili ni message kwenye nyimbo ila flow na style ya kurap ni ileile
 
Si kila mtu anataka kufanya unavyotaka wewe, labda yeye naye hiyo ndiyo style yake.

Mbona Profesa Jay anaflow hivyo hivyo siku nyingi na watu wamemkubali kuwa hiyo ndiyo style yake?
 
Vigezo hivi nani kaweka? Source iko wapi? Mcs wote wakali duniani mbona hawafit vigezo hivyo
Vigezo vimewekwa na Hiphop/Rap industry sio lazima mtu awe navyo vyote angalau vi 3 kati ya hivyo.

utajiitaje rapper na huwezi ku freestyle mpka ukae chini uansike. Na una flow tu kwenye beat zako ukiwekwa kwenye beat nyngne mpka producer a edit ma file. Flow unayo moja kama mrisho mpoto wape radha nyingine watu. Ndo maa rappers wanafeli
 
Hakuna rapper anayeweza bila kuwezeshwa na ma producers, washabiki, masela wa kitaa, etc.

So that goes without saying, for all rappers.
Kumwezesha ninakomaanisha siyo kusapotiwa bali kufundushwa jinsi ya kurap. Masela wa kitaa na mashabiki mandazi wanaweza kumsapoti mtu hata kama hajui kurap. Mbona Steve mweusi aliimba pumba liking alisapotiwa.
 
Ila wabongo wengine wanapenda kupondana.

Mimi huyo Bando hata simjui, ila nilivyosoma anavyopondwa hapa nikategemea nikutane na vichekesho vikubwa vya mtu asiyejua hata kwenda na beat.

Nikakuta mtu kajitahidi vizuri tu kufanya muziki wake.

Hivi mnaelewa kuwa mtu anaweza kuuona muziki wa mtu fulani mbaya kwa sababu hujauelewa tu, kwamba wewe unayeuona muziki mbaya ndiye una tatizo la kuuelewa na si aliyefanya huo muziki?
 
Back
Top Bottom