Ndiyo namsikia leo.
Lakini kumsema vibaya naona kama mnamuonea.
Mlivyomsema nikategemea mtu ambaye hawezi hata kuenda na beat, hana delivery, hana message.
Lakini, kwa kusikiliza wimbo wake mmoja tu "Sir God".
Naweza kusema.
1. Wimbo una uplifting message kwa watu wenye matatizo maishani.
2. Ameenda na beat vizuri.
3. Amezingatia sana mizani na vina, rhymes and meter, mstari kwa mstari, vitu ambavyo ma rapper wengi siku hizi hawazingatii.
4. Ameweka balance ya kuimba na kurap katika wimbo wake.
5. Ameweka vionjo vyake kuufanya wimbo uwe jazzy kwa sax, reminding me if Guru's Jazzmattazz.
6. The video is well thought out, reflecting life's troubke and a resikient uplifting spirit.
Huu wimbo angeuimba Profesa Jay ungekuwa bonge la hit.
Why the hate?
View: https://youtu.be/ic04D3RccZs?si=iw_mLfHzOEOmeujg