Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ameshikikia mizani na vina katika "Sir God" kwa namna ambayo ma rapper wengi wa siku hizi hawashiki hivyo.Bando ni msanii mzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshikikia mizani na vina katika "Sir God" kwa namna ambayo ma rapper wengi wa siku hizi hawashiki hivyo.Bando ni msanii mzuri sana
Katika wimbo wa bando karibia Kila neno kwenye mstari Lina topic yake so kama Ngoma ina maneno 200 basi ni wazi kuwa topics alilizozunguzi si chini ya 90.Mleta mada naomba unitajie Rapper wako bora.
Na vigezo unavyotumia ku Rate rap game?
Hakika Wana JF hawajui kuwa wewe ulikuwa msanii enzi za kina Faza NellyAmeshikikia mizani na vina katika "Sir God" kwa namna ambayo ma rapper wengi wa siku hizi hawashiki hivyo.
Kiranga kwa upande wa Muziki naweza nikakueleza kwa kila Lyrics alichomaanishaKwenye ku copy idea.
Guru wa Gangstarr katika "Take It Personal" ali rap hivi.
"Rap is an art, you can't own no loops
It's how you hook 'em up and the rhyme style, troop
So don't even think you could say someone bit
Off your weak beat, come on, you need to quit"
Umemaliza.Huyo msanii hamna kitu.
Watu wanasikiliza ujumbe wa nyimbo zake, way anayo deliver message na hizo nyimbo zake za kuwa inspire watu
Tangu atoke style ni hiohio, Flow ni hzohzo sio tu ishu za kuendana na beat abafili mifumo.
Na amini kupitia huu uzi atabadirika.
Out of 10 mi nampa Rating 4
Coyo kwangu mm anajuaSasa hata Coyo MC mnasema alikuwa hajui?? Haters haters haters😃
Ni sawa na kusema Brother K aka Mobimba kuwa anazingua!!
NakubaliCoyo kwangu mm anajua
Maana anauwezo wa kubadili beat na flow sema alikosa tu resources
Kwa Coyo Jamaa atakuwa Na chuki na wasanii wa Kanda Ya ziwa sasa 🤣🤣🤣Sasa hata Coyo MC mnasema alikuwa hajui?? Haters haters haters😃
Ni sawa na kusema Brother K aka Mobimba kuwa anazingua!!
Hapana,nina mziki huku chakaKumbe wewe promoter mkubwa
Hakika Wana JF hawajui kuwa wewe ulikuwa msanii enzi za kina Faza Nelly
Ndyo hiyo Ni style ya Rap inaitwa self defeat..Anaweza kuwa ndio Bando MC mwenyewe. Mambo kama ya freestyle ya Eminem kwenye 8 Mile movie, kujiponda
Kwa hiyo 2Pac akiimba Dear Mama rapper mwingine haruhusiwi kuimba wimbo wa kumuenzi mama kwa sababu hiyo ni idea ya 2Pac?Kiranga kwa upande wa Muziki naweza nikakueleza kwa kila Lyrics alichomaanisha
alichomaanisha ni ku express a perspective on rap as an art form ambayo unaweza kwenda beyond na Kutumia specific sounds or loops au Melod Ila Kuina Rhymes Na Maneno yaani Ideas Huwa hairuhusiwi na ndo maana Maneno ya Rap huwa Ni Copywriting..
lets me breakdown the lyrics according to Gangstar mwenyewe
"Rap is an art, you can't own no loops" suggests that no one can claim exclusive ownership over musical loops or beats, as rap is about creativity and how you use those elements Buh it doesnt talk about art of Coppying Lyrics or Ideas..
"It's how you hook 'em up and the rhyme style, troop": The real skill lies in how you arrange the beats and deliver yo rhymes...
focus hapo ni the technique and originality of the rapper, rather than the beats themselves...Kwahyo yo can Copy How I rhyme on the beat and how i Play with words cuz its Art but rather than Copy my ideas..
"So don't even think you could say someone bit": This challenges the idea that someone "stole" or copied a beat In rap, accusations of "biting" (stealing another artist's style) are common, but the lyrics here downplay that notion regarding beats and Not according to Ideas Once the Ideas of The song is Stolen that Aint arts Meehn its called Steal..
So tukubaliane according kwa utetezi ulioleta Kuwa Coppying Style and how People rhyme its Ok but coppying ideas its not OK
jamaa anajua ni Real MC ana deliver message vizuri nampa maua yake.Kitu uzima, Noa kichwa hiyo Kiranga
Utashangaa sana, ukijua vina vya firauni diddy kwenye I need a girl Part 1, ni me, me, me na ngoma ikawa ni best selling song.Msanii gani anaimba
...Yako
...zako
...wako
...chako
🤣
Hivi ni vina vya Chekechea.
Moja ya sifa muhim za msanii ni kuja na idea mpya, hii inathibitisha ubunifu wake.Kwa hiyo 2Pac akiimba Dear Mama rapper mwingine haruhusiwi kuimba wimbo wa kumuenzi mama kwa sababu hiyo ni idea ya 2Pac?