Entertainment industry ndo ipo hivyo duniani kote, asikudanganye mtu! Nikupe mfano mdogo sana kwenye eneo ambalo nimekuwa mdau wake kwa muda mrefu! Ukitaka kuuza kwa urahisi movie script Hollywood ni lazima upitie kwenye Literary Agent na kwa baadhi ya studio/production companies hususani zile kubwa ni LAZIMA upitie kwa Literary Agent! Kuna mamia kwa mamia kama sio maelfu ya literary agents America alone lakini hata hivyo si kila literary agent ana ubavu wa kufanikisha ndoto zako... kuna wengine ambao ndio wengi ni literary agents as literary agents na kuna wengine wachache sana ndio wenye connection na industrial insiders na hawa ndio wenye uwezo wa kufanya mambo yatokee watakavyo wao! The very same script from the same screenwriter, Literary Agent X anaweza kuiuza kwa $ 2 million na Agent Y akaiuza kwa only $ 200,000 kwa same buyer/studio!Huko kote upo sahihi mkuu! Concern yng kubwa hapa ni kwamba, kwa upande wa Radio stations na Tv, zinapigwa ngoma ambazo Fella na wenzake wamezipeleka, iwe single ama album.
Na ikibidi hata kwa gharama ya "ngoma za msanii x zisipigwe"
Kutokana na ukweli huo, huchelewi kufahamu kwamba hii dunia isn't fair at all... it's not all about what you deliver but how strong your connections!! Tangu biashara zianze kutumia middle men imekuwa ni full majanga kwahiyo hawa akina Fella hawaepukiki kwenye kila sector na kilichobaki ni kwetu kuangalia ni akina Fella wa aina gani tunapaswa kufanya nao kazi! Na kama ulivyosema, ingawaje wao sio ndio kila kitu lakini ukitaka mambo yako yakunyokee basi mtu analazimika kufuata matakwa yao!