Msanii Belle 9 amewakosea nini Watanzania? Kwanini anapuuzwa? Ni wapi anakosea?

Huko kote upo sahihi mkuu! Concern yng kubwa hapa ni kwamba, kwa upande wa Radio stations na Tv, zinapigwa ngoma ambazo Fella na wenzake wamezipeleka, iwe single ama album.

Na ikibidi hata kwa gharama ya "ngoma za msanii x zisipigwe"
Entertainment industry ndo ipo hivyo duniani kote, asikudanganye mtu! Nikupe mfano mdogo sana kwenye eneo ambalo nimekuwa mdau wake kwa muda mrefu! Ukitaka kuuza kwa urahisi movie script Hollywood ni lazima upitie kwenye Literary Agent na kwa baadhi ya studio/production companies hususani zile kubwa ni LAZIMA upitie kwa Literary Agent! Kuna mamia kwa mamia kama sio maelfu ya literary agents America alone lakini hata hivyo si kila literary agent ana ubavu wa kufanikisha ndoto zako... kuna wengine ambao ndio wengi ni literary agents as literary agents na kuna wengine wachache sana ndio wenye connection na industrial insiders na hawa ndio wenye uwezo wa kufanya mambo yatokee watakavyo wao! The very same script from the same screenwriter, Literary Agent X anaweza kuiuza kwa $ 2 million na Agent Y akaiuza kwa only $ 200,000 kwa same buyer/studio!

Kutokana na ukweli huo, huchelewi kufahamu kwamba hii dunia isn't fair at all... it's not all about what you deliver but how strong your connections!! Tangu biashara zianze kutumia middle men imekuwa ni full majanga kwahiyo hawa akina Fella hawaepukiki kwenye kila sector na kilichobaki ni kwetu kuangalia ni akina Fella wa aina gani tunapaswa kufanya nao kazi! Na kama ulivyosema, ingawaje wao sio ndio kila kitu lakini ukitaka mambo yako yakunyokee basi mtu analazimika kufuata matakwa yao!
 

Mkuu hapo umemaliza kabisa!
 
Ndio, huoni diamond alimuibia Jums nature mganga wake now anashine wakati Nature amepotea kwenye rada.?

Hahahaaa! Mbimbinho umenichekesha sana kwa ulichokisema.Pia ID na avatar ndio nimezidi kuvunjika mbavu!
 
Last edited by a moderator:
Management ni kitu muhimu sana.. pia awe karibu na fans wake kwenye social networks so that they can request his songs.....

Take my words Belle

upo sahihi
kuna wasanii wengi wa kibongo wamekuwa wavivu kuzitangaza kazi zao ktk mitandao yao na badala yake wanauachia uongozi wao pekee kudeal na promo
 
mpaka pale atakapoaachana na ule msemo wa mababu eti kizuri chajiuza?? nani kasema, biashara matangazo bwana, kuna kitu inapendwa kam pombe?? na bado inatangwazwa, mwendo wa kiki.
 

hua nsjiuliza aliwakosea nn ma dj,presenters yan nyimbo zake kwny redio ilipgwa leo inapta week ndo unaiskia tena
 
Mashabiki wake wanaupa air time yakutosha?

Shida ipo kwa madjs na presents ndo hwamp air time wanambania sana km juz xxl kwany segment ya review album walikua wanareview album yake ya sumu ya penz,saa tina kamilj yupo studio af wakamwambia at umechelewa na kumpa interview ya dk 5 sasa hyo nn km co kumshusha
 
dogo anajua ila na yeye ni jeuri yule aliwazarau ktma ndo maana
 
Hata mimi najiuliza pia na jamaa ana sauti nzuri na utunzi wa nyimbo...lbd Masogange alimwachia laana.
 
dah mkizungumzia belle 9 mnafanya nitokwe na machoz, huyu jamaa anaimba sana na mziki wake unapigwa promo yan atleast, lakn ni katika levo ambayo sio ya kiwango ambacho kinaendana na ukali wake wa kuimba.
 
duuuu bado jinamizi linamuandama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…