Mbrazili
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 649
- 90
Aaah Kumbe ndomaana kuna siku B12 mtangazaj wa XXL cloudsfm aliipiga nyimbo inaitwa ME AND U ya msaanii WA NIGERIA afu akasema ingekua OMMY DIMPOZ katoa baada ya hawa jama tungesema amecopy na kupaste KUMBE nilichogundua alikua akiitetea BRADY Yao BEN POL kwa MLANGO WA NYUMA ILI WASIKOSE SOKO lakin kwa hili BEN POL kacopy na UTASHANGAA TUZO ZA MWAKAN ANAPATA NA KUWA NOMINATED kwenye category kibaaaaao
Halafu sasa ile nyimbo ya me and u ya bracket imeanza kutoka kabla ya nyimbo ya ommy dimpoz...ile imetoka 2011 ya dimpoz ya juzi tuuu......ila zinafanana majina tu sio kama hii ya ben pol