Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI


Halafu sasa ile nyimbo ya me and u ya bracket imeanza kutoka kabla ya nyimbo ya ommy dimpoz...ile imetoka 2011 ya dimpoz ya juzi tuuu......ila zinafanana majina tu sio kama hii ya ben pol
 
Mi nipo tofauti kidogo....nachoelewa mm msanii yeyote kabla ya kutoka kimziki basi alikuwa shabiki hapo mwanzo..licha ya kuimba ben pol pia ni shabiki mzuri wa music na anatumia muda wake mwingi kusikiliza music...sasa copying inaeza tokea automatically kama kuna nyimbo ya mtu imekukaa sana kichwani,hii inawatokea hata producerz wanajikuta wamesample....kosa ni kupiga copy n paste ila mi kama shabiki wake nimemsamehe.....ila kamfunika mwenye nyimbo lol.....

#still team BEN POL
 

Shida sii kumfunika mwenye wimbo, shida ni kucopy kila kitu idea na melody, na kwanini hakusema kacopy mpaka alivyoshtukiwa?
 

hahaaa hapana mkuu, mwenye nyimbo yupo poa saaana! Ben Pol uwa namkubali sana kwa sauti hata swaga ila kwa hili ametufanyia vibaya fans wake!
 
Nilikuwa naipenda hii nyimbo na jana tu asubuhi nilikuwa naiimba
naisifia na kwa best yangu kuwa this song is good,kumbe amecopy
each &everything............
 

Kama hulipwi basi una undugu nae au ni wewe mwenyewe Ben Pol. Aache kukopi,tunataka wasanii wenye uwezo
 
Nilikuwa naipenda hii nyimbo na jana tu asubuhi nilikuwa naiimba
naisifia na kwa best yangu kuwa this song is good,kumbe amecopy
each &everything............

hawa ndio wasanii wabongo sana, hawataki kuumiza vichwa kabisa!! cha kushangaza kwa nyimbo hiyo hiyo ya kucopy mtu anapewa tuzo ya mwanamziki bora
 
Mbrazil, chords za muziki zinaweza kufanana lakini maudhui ya wimbo ndo yanatofautisha nyimbo.na maudhui yanaundwa na melodies. Ben pol kacopy hadi melodies
 
Kama hulipwi basi una undugu nae au ni wewe mwenyewe Ben Pol. Aache kukopi,tunataka wasanii wenye uwezo

Anilipe nini ben pol hata kujuana hatujuani...mi nafuata moyo wangu unataka nini na si watu wanasema nini....ukilazimisha mi nifeel kama unavyofeel wewe ni tatizo sasa hilooo....
 
Mbrazil, chords za muziki zinaweza kufanana lakini maudhui ya wimbo ndo yanatofautisha nyimbo.na maudhui yanaundwa na melodies. Ben pol kacopy hadi melodies

Mkuu nimekuelewa
 
Kucopy ni kawaida tu na mziki ndo ulivyo, Mi naipenda sana hiyo ngoma ya Ben Pol JIKUBALI so m naona ni mbunifu mzuri.
 
huyu si mmoja kati ya wanafunzi wa THT? ndio wanchofundisha huko itakuwa....
 


dah kwenye siasa hii tunasema awajibike kwa kujiudhulu
 
Eti Will I am amshtaki Ben pol...... angalia hizo views....milioni 87 kwa elfu thelathini...labda huyo Beni asali sana usiku na mchana hiyo miujiza itokee.

Ila sio busara hata kidogo kutumia kazi za wengine, ni wizi...ni ufisadi kama wa EPA, DOWANSI etc....
 
Kucopy ni kawaida tu na mziki ndo ulivyo, Mi naipenda sana hiyo ngoma ya Ben Pol JIKUBALI so m naona ni mbunifu mzuri.
Wapi umeona kukopy ni kawaida tu? UNAJUA MAANA YA UBUNIFU? nausifikir watu hawampend BEN POL , tunampenda ila anapokosea lazima tuseme. mbona kuna wasanii wa hapa TZ wameimba nyimbo yenye idea kama JIKUBAL na hatujawalaumu? mf; LUTEN KARAMA nyimbo inaitwa UNGEPENDA KUWA NAN kaisilize ndo utajua UBUNIFU jinsi ulivyo, afu mtu anapewa tuzo ya MTUNZ BORA si bora wangepewa kina LINEX, BELL 9, alikiba , Diamond au Barnaba me nashaur waandaj waanzanzishe category mpya ya TRANSLATOR(mfasiri) bora wa mwaka ambao hapo kutakua na WASANII wanaBADILISHA LUGHA ZA NJE NA KUIMBA KWA KISWAHILI
 
kama alikubaliana na mwenye wimbo sawa.lakin kama alifanya ukanjanja hiyo aikubaliki
 

umeongea vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…