Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

Me naona so mbay kwani hata kama ame copy uoni kama ule ujumbe atakuwa ameushikisha kwa wasioelewa ule wa kingereza na kazi ya msanii nikufikisha ujumbe kwa jamii
 
Me naona so mbay kwani hata kama ame copy uoni kama ule ujumbe atakuwa ameushikisha kwa wasioelewa ule wa kingereza na kazi ya msanii nikufikisha ujumbe kwa jamii

Angesema toka mwanzo basi. Kwanini apokee credit kwa kazi ya kukopi. Haoni kama ni aibu hiyo?
 
tatizo wabongo wanapenda sana shortcut na hawapendi kuwa wabunifu mfano marco chali nani ajui anakopi beat za majani?
 
mbona hazifanani sema ni idea tu
 
Inaruhusiwa kukopi wakikopi marekani hamna shida bongo inakua noma by the way u need to have talent ili ukopi,ben got talent jay z wimbo wa 'bonnie n clyde'idea toka tupac.
 
jay z pia wimbo wa die in your army tonight sio wake aliu kopy kwa msanii mmoja wa uingereza kawaida sana hakuna jipya hapa muziki ni mali ya jamii labda uisajili nyimbo yako ndio inakua mali yako hata ukiangalia nyimbo za kongo miaka ya 2000 zilikua zinafanana sana
 
Inaruhusiwa kukopi wakikopi marekani hamna shida bongo inakua noma by the way u need to have talent ili ukopi,ben got talent jay z wimbo wa 'bonnie n clyde'idea toka tupac.
WAMAREKAN ndo kina nan? kwahiyo kama wamerekan.... wanacopy ....BEN POL naye anahaki ya kukopy? usiwe na akili tegemez katika kufikiri, angalia wasanii wa hapa TANZANIA walipocpy na athari walizopata katika mziki wao mf; TIMBULO, T.I.D mnyama,LANGA NGWEIR,na n.k
 
SIO KILA KITU WACHOFANYA WATU WA AMERIKA BAS NI HALALI HAPA TANZANIA, mbona marekani wanafanya USHOGA atujawakopy? kwa hiyo JAY-Z akiwa freemaso na kwa BEN POL naye ni alali kwake kua, MBONA Diamond ile staili ya kuvua BOXA kwenye jukwaa alicopy nje ila apa bongo tulikataaaaa , TUMIA AKIL KATIKA KUFIKIR USIWE MTUMWA wa kulingalinisha vitu bila hata maana .
 
hahahah pole yako muziki ni moja ya vitu vinavyofuata mfumo mmoja wa dunia vingine ni mpira uongozi na hata hesabu moja jumlisha moja ni 2 hata ukienda wapi ni jibu moja tu muziki wa tz wote tumekopy ukitoa mnanda tu hakuna cha hiphop.rnb. Zuku. Bolingo wala rege
 
kukopy kawaida sana kuna nyimbo inaitwa human nature ya michael jackson watu wameikopy hi nyimbo kawaida sana mbona jd kakopy mbaraka mwishee na mr paul zuwena je au dandu sina makosa au wairi sina makosa kawaida sana hamna jipya
 
mbona buster rhmes ali mkop prof jay kwenye piga makofi
 
kukopy kawaida sana kuna nyimbo inaitwa human nature ya michael jackson watu wameikopy hi nyimbo kawaida sana mbona jd kakopy mbaraka mwishee na mr paul zuwena je au dandu sina makosa au wairi sina makosa kawaida sana hamna jipya
Wewe Kama Ulipwi Sijui.... AU inaonekana uelewi maana ya kucopy . ILA TAMBUA JD, MR PAUL wamewaomba wenyewe kuzirud izo nyimbo , na hao sio wakwanza kufanya ivo hapa tz na watu tunaeleeewa hajacopy kwa kusaidia hawa pia walipata dhamana kutoka kwa wenye nyimbo na wakazirudi FA, LINAH, RAY C , JD , MR PAUL , STAMINA NA N.K na wakuwa wawaz na kusema waliongea na wamiliki wakapa dhamana ya kuzirudi izo nyimbo . KWANZA NAONA napoteza muda tu coz kunkichwa hueeleeew kabisa na mifano yako ISIOKUWA NA MIGUU , kama mtu kacopy , kacopy tu hata umteteaje
 
Naombeni list ya wasanii watano hapa bongo ambao hawa copy na kupaste nyimbo za watu...Naona kribia 90% wote ni copy na kupaste tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…