Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI


bwana mkubwa umekurukupuka kinoma noma hata ujaelewa mada hatujakataa kama hajakopy kakopy na kukopy ni kawaida si maajabu kama wa2 wananyozani ndio maana jd mr paul na nk walikop pia does nt matter kama waliomba idhini au lah si tunazungumzia kucopy tu ni kawaida no new mbona watu wanatungiwa hadi nyimbo
 
Aiseeee haku hangaika kabisa na hii imemtia aibu kabisa
 
Atakuwa mwizi kama wezi wengine awatake radhi watz
na wasanii alowabania kwenye tuzo kwa wimbo wake wa kukopy
 

kajikubali ndio maana kafanya hivyo..
 
Nilitaka kushangaa pimbi kama ben pol kapata akili wapi ya kuandika nyimbo kama ile.sasa nimeamini
 
Iyo kazi ni ya lucci ni mcopiaji mzuri wa beat za watu wala sishangai ! Bt nice work ben
 
kuna wendawazimu walikuwa wanataka kuifananisha hii takataka na diamond
 
hold on a minute gyz.... kwa hiyo wimbo huu mmoja tu ndo umezifuta zake zote kali za nyuma

..... Pete... Samboira....Nikikupata......... etc.

Hakika nchi hi si nzuri kwa wasaniii,, Na sisi wenyewe ndo tunawasababishia STRESS.....mpaka wanaamua anza matumizi ya vileo...

Ben Pol endelea na kazi.. Songa mbele.. evrybody has haters. JESUS had haters,who r we??????
 
Diamond is a genius, alipoana NATAKA KULEWA itachafua brand yake , haraka akatoa nyimbo ya KESHO ili kuziba zile tuhuma za kuiba nyimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…