Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

daah,,,,,!! huu uzi niwacku nyingi nilkuwa cjauona,,,!! Kwanza labda niseme jambo 1 kwasasa hakuna Mwanamuzi mwenye Music wake binafsi Kwenye Music kuna kitu kinaitwa Music Form n Music Style,,,! sasa ili uandike WMBO lazima hivi vitu uvijue nahivi vipo free kwa mtu.yyt na kwenye Music kila mtu ana Role Model wake,,,,!! naili uwe mwanamuzik Mzuri lazima uwe mckilizaji.mzuri wa Nyimbo hasa kwa yule unaetamani.kuwa km yy kwahiyo hata kumuigiza Nyimbo zake ni jambo lakawaida sana,,!! Ukichukukia bada in Mwanamuzik mchanga Kiukweli mimi ni Fans wa huyu Bwana mdogo nakubali Singing Style yake,,,,,!! Ila kosa kubwa alilofanya nikutosema ukweli lkn kuiga WMBO sio issue,,,!! Nimefatilia comment nyingi humu sio tumaini la kuwasupport maDogo wanaojitutumua Kufanya music mimi naamini ndo mwanzo bt kadri cku zinavyokwenda hatafanya kitu km hiki ninachoamini hata yy hapendi lkn Kwakuanzia cvibaya Kiukweli nasifu uwezo wake km unaweza kuimba Wmbo wa mtu naukafukina basi ww una uwezo,,,,!!
 
Inaruhusiwa kukopi wakikopi marekani hamna shida bongo inakua noma by the way u need to have talent ili ukopi,ben got talent jay z wimbo wa 'bonnie n clyde'idea toka tupac.
kabla ya huo wimbo wa Ben paul tulikuwa hatuujui huo wa mbele leo baada ya kutoka wa Ben paulo ndo eti wanaanza kuleta fitna, hawa wanamchukia kwa sababu ya Jay dee sio bure
 
Wakimshitaki nitafurahi sana ili waache Huu upumbavu kucopy Kuna taratibu zake pia hatukatai ..
 

You can be a thief as well.
 
kabla ya huo wimbo wa Ben paul tulikuwa hatuujui huo wa mbele leo baada ya kutoka wa Ben paulo ndo eti wanaanza kuleta fitna, hawa wanamchukia kwa sababu ya Jay dee sio bure


sema mimi nilikuwa siujui. Ila si wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…