Msanii bora Bongo flava 2018

Barcelona763

Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
26
Reaction score
21
Mwaka wa 2018 msanii bora 2018 ni yupi na wimbo bora was mwaka kutoka kwake ni ipi ?
 
Rayvanny na wimbo wake wa mwanza baba[emoji16][emoji16][emoji16](achana na hao basata, wanachuki zao)
 
Hadi kufikia hapa maoni karibu 88% ya wadau humu HARMONIZE anaongoza kinyanganyiro hiki.

mtabisha na kupendekeza wengine kwa mihemko ya ushabiki ila ukweli utabakia pale pale.

Harmonize ni bora kwa mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…