Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Kwani vina muda basi. Wacha aenjoy wakati wakeGame ikibadilika amepotea
Liquid chii upepo wa Pesa ukipita pita naoNdo nani huyu
Huyu kenge angebadili jina ananichanganya sana. Kila nikiona habari yake naifungua haraka nadhani ni Chindo Man a.k.a Umbwa, mkalisha tembo wa Kijenge juuMwamba kajitafuta Chino Kidd katika ubora wake, Amapiano Tanzania to Kimataifa (International).
View attachment 2687414