BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Sasa habari za wabongo zimekujaje wakati ulikuwa unazungumzia mambo ya Burna boyHili life bhana, kutoka kuwa African giant mpaka kuanza kulialia, mhh nguvu ya mashabiki ni kubwa badilikeni someni upepo, mashabiki siku hizi wanajitambua, Burna Boy amekutana na siti tupu kumbuka kazoea kujaza viwanja, lakini mambo yamekuwa tofauti raia zimemgomea, aombe radhi.
Juzi Kenya raia zikagoma nyimbo ya Mbosso pawa isipigwe, wakamuamuru dj atoe huo wimbo haraka, na dj akatii ili asicheze kichapo kisa eti hawawatetei vijana watz wanaopigania haki zao
Nilikuwaga namchukia Willy Paul wa Kenya baada ya kukataa WASANII WA BONGO wasiwe wanaenda kufanya show Kenya hataki, Sasa nimemuelewa bro wakija fukuzaaaaaaaa
Kwani wale wenye profile za wazi kina mdude na soka wapo wapi machawa to mnakuja na feki profile sembuse wanaharakati?Duh wabongo tuna chuki kubwa sana na vijana wenzetu wenye nafuu ya kimaisha.
We unaejikuta mwanaharakati mbona profile Yako Ina utambulisho wa Siri? Sa unaonaaje urahisi wa wasanii kufanya harakati dhidi ya Mbogamboga? Kwani huoni madhara ambayo wangeyapata? Oy pigania harakati zako man
Hahahahaa mkuu sio Mimi mi nimfikishaji TU wanchikia weye wakosea wapaswa chukia wale, mi mjumbe tuUmeanza vizuri sana huko juu ila huku chini umemaliza na mambo ya hovyo kabisa.
Kawambie wakenyaWivu wa kike kwa wanaume wenzio ni ushamba
Soma hiyo ya burna alafu ya WABONGO viwacheSasa habari za wabongo zimekujaje wakati ulikuwa unazungumzia mambo ya Burna boy
We ni mkata kiuno wa mbosso bonge la mama?Wivu wa kike kwa wanaume wenzio ni ushamba
Wivu umetoka wapi hapo mkuu? Zimo kweli au ulijigonga mahali kwenye kichwa and the rest was historyWivu wa kike kwa wanaume wenzio ni ushamba
Wewe ni mke wa roma au wakazi??? Au wote wanakupumulia??We ni mkata kiuno wa mbosso bonge la mama?
Mkuu ivi inakuaje kwa akili za kawaida unafurahia anguko la mtu au kushinikiza anguko la mtu kwa sababu hamshabihiani kiitikadi??Wivu umetoka wapi hapo mkuu? Zimo kweli au ulijigonga mahali kwenye kichwa and the rest was history
Ndio wakina nani hao siwajui mkuu, au hao ni watekaji?Wewe ni mke wa roma au wakazi??? Au wote wanakupumulia??
Sawa kabisa kiongozi, nusu nipate mashaka kidogo.Hahahahaa mkuu sio Mimi mi nimfikishaji TU wanchikia weye wakosea wapaswa chukia wale, mi mjumbe tu
πππNdio wakina nani hao siwajui mkuu, au hao ni watekaji?
Vua nguo ulaaniKwa hiyo tufanyeje