Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Mimi nimeiona kuwa ni arm band nyeusi kama ishara ya kumuomboleza Mez B anayeona hirizi hapo ndio mchawi.
 
Acha ungese, embu soma walichoandika kwenye t-shirt zao then utaelewa,
Hicho ni kitambaa cheusi kumuenzi mez b

Mbona hamkumsaidia kipindi anaumwa?,Moses alifika mahala hana msaada hadi mama yake alipokuja ku chukua kwenda naye Dodoma.
Tuache tabia hizi za kinafiki.
 
Bongo lazima uwe na stamina miguuni la sivyo hutadumu kwenye game...
 
Mbona hamkumsaidia kipindi anaumwa?,Moses alifika mahala hana msaada hadi mama yake alipokuja ku chukua kwenda naye Dodoma.
Tuache tabia hizi za kinafiki.

Kutoa msaada ni jambo jema lakini ni vigumu kumsaidia mtu mmoja mmoja kwani wenye matatizo ni wengi na kila mtu ana matatizo yake. Hata hivyo usiseme Mez B alikosa msaada, si alipata msaada kutoka kwa mama yake, sasa wewe ulitaka apate msaada kutoka wapi?
 
Juzi kunamshkaji mmoja sinza alikua anapanda daladala kikandondoka duu kiko kama chura hivi kinarukaruka...jamaa akakiokota fasta akasepa..!!
 

Usikurupuke kujibu hoja tafakari kwanza inaelekea hata hukuelewa mantiki yangu.
 
Hapana Jamani! Twendeni taratibu! Hiyo shoo ilifanyika mwisho wa wiki Dodoma, na huko ndio ulipo msiba wa Mez B, washkaji wakaamua kufunga black armband just to symbolize their mourns to loved member of chamber squad! Angalia na maandishi ya T-shirts zao
 
Mbona hamkumsaidia kipindi anaumwa?,Moses alifika mahala hana msaada hadi mama yake alipokuja ku chukua kwenda naye Dodoma.
Tuache tabia hizi za kinafiki.
Kwa hiyo kama mtu hakusaidiwa akiwa mgonjwa ndo hata msiba ususiwe?
 
Tusipotoshane wakuu,,,shetani alivyofukuzwa mbinguni kwa ajili ya kukataa kumsujudia Adam sababu ameumbwa na udongo na yeye ameumbwa na moto aliapa kuwapoteza binadamu popote pale kwa kila njia huyo jamaa ni mfuasi wake.
 
Ni kwaajili ya msiba wa mez b mleta mada acha kupotosha
 

Attachments

  • 1424621369783.jpg
    82.3 KB · Views: 1,176
Heri ndugu umeliweka sawa hili maana wengi walikua gizani na kukurupuka kutoa maneno ya ajabu ajabu....

Ninazo picha nyingi sana walivaa wasanii wengi sio yeye tu ila ndio tulivyo tunapenda kuzungumza vitu vya kuambiwa bila kujiridhisha kwa kuhahiki na hata kwenye instagram yake kaelezea ila mleta mada kayakuza na kuingiza hata wasiokuwepo mara kigoma all star dah wabongo noma
 
Kwa uhakika zaidi kapost leo
 

Attachments

  • 1424622382245.jpg
    51.7 KB · Views: 488

Hatari sana
 
Ni saa kweli? Mbona kama ni kitu kimefungwa? Imelegea ijishike hivyo? Labda mm sioni vizuri

hahaha hiyo ni hirizi mtoto, sasa alisahau kama kavaa na bado akajivalisha flana kata mikono jamani kha
 
Kitambaa cheusi ishara ya msiba wa mezB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…