Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Kwenye IG kasema tumefunga vitambaa kuomboleza msiba, cha kujiuliza mbona kavaa peke yake? Nao ili ilikua na maana gani kuvaa kuomboleza huku umeificha?
Amevaa peke yake ni kwamba ulikuwepo kwenye show na kumuona Temba wazi wazi au unazitafsiri hizo picha? Ikiwa unatafsiri picha, je picha zilizopo zinakusaidia kuona mkono wa kulia wa Temba una nini? But all in all, kwani ni lazima wote waomboleze?
 
Nilijua Nyoka mwenye makengeza hata mimi kumbe mtu wa kigoma mwisho wa reli.

Hahahahahaha, akili yenu imekua corrupted na viruses wanaoitwa si-a-sa...lkn msijali ant virus wake anatoka mwaka huu mwezi wa kumi hivi...
Activation keys zake zitakua kati ya hizi mbili..
CCC-MMM au U-KA-WAA.
 
Acheni usenge msiba wa mez b nini, mbona kavaa peke yake na mwenzake hajavaa... Hicho kitamba chakienyeji kabisa.. Woke up!!!
 
Sidhan kama kuna kitu cha kubishana hapo picha imejionesha kama ingekua ni kitambaa basi wangevaa wote na hua vinaonekana bila kufichwa Chege alichovaa hapo ni hirizi
 
Mbona hamkumsaidia kipindi anaumwa?,Moses alifika mahala hana msaada hadi mama yake alipokuja ku chukua kwenda naye Dodoma.
Tuache tabia hizi za kinafiki.

Kuna kipele kinakuwasha, maana unaropokwa tu.
Wewe ulimsaidia nini labda
 
Hee kumbe huyu bado anatumia vitambaa wenzake siku hizi ni mwendo wa mipete na micheni yenye vidani kama mkebe
 
Kuna picha mbili. iliyosambaa sana ni kwel unawez dhani ni hirizi ila ukiangalia picha ya pili ndo ni live kua ni kitambaa ishara ya maombolezo.jana clouds walimhoji chege na alimshambulia sana maimartha alie anza eneza uzushi huu na mdada wa watu nae akahojiwa na hatimaye alijichekeshaaaa na kuomba msamaha kwa kumchafua chege.SIO HIRIZI
 
Hata kama ni hirizi jamani kwani kawalogea nani yenu?
Mi nadhani wanaomkomalia sana ndo walewale tu kasoro umaarufu...PERIOD!!!
 
Acheni usenge msiba wa mez b nini, mbona kavaa peke yake na mwenzake hajavaa... Hicho kitamba chakienyeji kabisa.. Woke up!!!
Una uhakika kwamba mwenzake hajavaa? Kwenye hizo picha zinakuwezesha kuona mkono wa kulia wa Temba kuna nini??!!
 
Hata kama ni hirizi jamani kwani kawalogea nani yenu?
Mi nadhani wanaomkomalia sana ndo walewale tu kasoro umaarufu...PERIOD!!!
Umeona enh! Halafu wengine wanakomaa kwamba mbona Temba hajavaa wakati kuomboleza ni matakwa ya mtu na kubwa zaidi hata huyo Temba mwenyewe mkono wake wa kulia haonekani kuwezesha kugundua kama amevaa au hapana ikiwa reference ya kutovaa kwake ni hizo picha!
 
Sidhan kama kuna kitu cha kubishana hapo picha imejionesha kama ingekua ni kitambaa basi wangevaa wote na hua vinaonekana bila kufichwa Chege alichovaa hapo ni hirizi
Huyo Chege kama ameficha wewe umeweza kukiona vipi? By the way, kwamba Temba mbona hajavaa, mkono wa kulia wa Temba unaonekana hapo hadi u-conclude kwamba hajavaa? Hao wacheza show mikono yao inaonekana vizuri hadi useme mbona wengine hawajavaa?
 
Kaa na uchawi wako nawe hajamroga mtu ila ndio imeisha onekana kama ndio mlivyo kwenu hamuwezi kuimba bila usaidiz wa hiriz basi sawa
 
Back
Top Bottom