Amevaa peke yake ni kwamba ulikuwepo kwenye show na kumuona Temba wazi wazi au unazitafsiri hizo picha? Ikiwa unatafsiri picha, je picha zilizopo zinakusaidia kuona mkono wa kulia wa Temba una nini? But all in all, kwani ni lazima wote waomboleze?Kwenye IG kasema tumefunga vitambaa kuomboleza msiba, cha kujiuliza mbona kavaa peke yake? Nao ili ilikua na maana gani kuvaa kuomboleza huku umeificha?