Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3,844
Reaction score
6,448
attachment.php


Katika bonanza lilopigwa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma la Pspf..picha iliopigwa jukwaani wakati mshakaji akiwa busy kukata mapanga...pengine ile dhana ya wasanii na ndumba ni dam dam inaanza kujidhihirisha ..

No wonder Ally Kiba alipanda ukuta baada ya kuona hali ya sintofahamu ...na alikwepa kushiriki project ya Lekadutigite..mdogo wake akajifanya mbishi kwenda Kigoma Kuperform alichokipata ntawaleteeni uzi spesheli...
 

Attachments

  • uchawi.jpg
    uchawi.jpg
    100 KB · Views: 81,339
Kwny viti vya mabosi wa maofic mbalimbali yale binafsi na ya umma kumefungwa mahirizi mazitomazito, sasa sembuse na hao wenye vijihirizi vidogo kama vidonge vya panadol
 
nimesoma heading vibaya nilidhani ni yule nyoka makengeza aka ATM ya chama
 
Nini cha kushangaza wakati hata Yericko Nyerere na team yake (watu ambao tunawategemea kuleta mabadiliko) kumbe ni ma promota wa uchawi na ushirikina? Ngoja tuone
 
Yaani title mimi nilisoma kama Chenge sasa kufungua thread naona picha zisizoendana na Chenge ndio kurudia kusoma: lol
 
Hata yale mapete mawili mawili ya viongozi wako ni ndumba.

Itabidi sasa aifungie kwenye shingo ya dushe.
 
Mbona viongozi wote wa ccm wanakula nyama za albino ila hatusemi..??.
 
Nilijua Nyoka mwenye makengeza hata mimi kumbe mtu wa kigoma mwisho wa reli.
 
amna bana kile ni ktambaa cheusi kuonesha alama ya msiba wa mez b ndomana flana zao zmeandkwa R.I.P MEZ B
 
Back
Top Bottom