Msanii Chemical anavyowaaibisha wanaume wa Dar

Mtaured

Senior Member
Joined
May 17, 2018
Posts
119
Reaction score
103
Daaah Wanaume wa Dar Tenaaa!!

Ndugu wanaJF, Rapa wa Kike Chemical akihojiwa Leo na Enewz ya EATV amesikika akitamka kuwa Bikira yake pendwa alokuwa ameitunza kwa muda mrefu hatimaye imetolewa!

Cha kushangaza hasa ni pale aliposema kuwa, Ngozi hiyo Adimu imetolewa na wanaume wawili kwa mpigo yaani "Mtungo".

My Take: Inawezekana Mwanaume wa kwanza aloshindwa show alikuwa wa dar ..wazee wa kushindia chips yai na juis ya miwa! Na Mwanaume wa pili aliefanikisha hio show anaweza kuwa Mwanaume wa Mkoan anaeshindia ugal wa dona na njugu mawe!

Kwakweli ..Msanii Chemical amewaaibisha wanaume wa Dar! yaaan hata kingoz kilain kama icho wameshindwaaaa kukichomoa?! Daaah!

Wanaume wa Dar Mjitafakari Sana!
 
We mwanaume wa wapi
 
Hasa demu hana hata stimu, sura kama yangu unategemea mashine isimame??

Yani ni sawa nikuone wewe afu nidindishe, si matusi haya..

Chemical hana stimu, na inawezakuwa waliotoa hiyo bikra walitoa na chupa ya soda
hahahaaaaa poor chemical
 
Awamu hii wana kijiji mnasumbuliwa sana na msongo wa mawazo kila kitu mnawaza wanaume wa Dar,naona mnalalamika sasa kua dada zenu hawaolewi uko vichakani kisa wanaume wa Dar hatuji tena kuoa mikoani.
 
haya...hatimaye Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa za kufurahia ushindi wa mwanzo, wanaume wa mkoani tumeanzisha ligi tena na 'vijana' wa dar
 
Awamu hii wana kijiji mnasumbuliwa sana na msongo wa mawazo kila kitu mnawaza wanaume wa Dar,naona mnalalamika sasa kua dada zenu hawaolewi uko vichakani kisa wanaume wa Dar hatuji tena kuoa mikoani.
Tutakosa wajomba bureeee...
 
Hasa demu hana hata stimu, sura kama yangu unategemea mashine isimame??

Yani ni sawa nikuone wewe afu nidindishe, si matusi haya..

Chemical hana stimu, na inawezakuwa waliotoa hiyo bikra walitoa na chupa ya soda
Sura una tumia assumed mean unaweka ya beyonce
 
haya...hatimaye Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa za kufurahia ushindi wa mwanzo, wanaume wa mkoani tumeanzisha ligi tena na 'vijana' wa dar
hahaa ..mkuu mpaka wakubali kupokea malezi asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…