Mtaured
Senior Member
- May 17, 2018
- 119
- 103
Daaah Wanaume wa Dar Tenaaa!!
Ndugu wanaJF, Rapa wa Kike Chemical akihojiwa Leo na Enewz ya EATV amesikika akitamka kuwa Bikira yake pendwa alokuwa ameitunza kwa muda mrefu hatimaye imetolewa!
Cha kushangaza hasa ni pale aliposema kuwa, Ngozi hiyo Adimu imetolewa na wanaume wawili kwa mpigo yaani "Mtungo".
My Take: Inawezekana Mwanaume wa kwanza aloshindwa show alikuwa wa dar ..wazee wa kushindia chips yai na juis ya miwa! Na Mwanaume wa pili aliefanikisha hio show anaweza kuwa Mwanaume wa Mkoan anaeshindia ugal wa dona na njugu mawe!
Kwakweli ..Msanii Chemical amewaaibisha wanaume wa Dar! yaaan hata kingoz kilain kama icho wameshindwaaaa kukichomoa?! Daaah!
Wanaume wa Dar Mjitafakari Sana!