Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma ya kwakombona me namshinda
sina wa kuchukua videoTuma ya kwako
Sio kwelisina wa kuchukua video
ndiyo nipo peke yanguSio kweli
Msanii wa hiphop Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua kwa kuwa watu wanamuona yeye ni mgumu kwakuwa anafanya mziki wa hiphop ngumu ila amethibitisha kuwa anaweza kucheza singeli kama wadada wengine.
Hakuna hata jiranindiyo nipo peke yangu
atafaidi ni wa kiumeHakuna hata jirani
Sio mbaya kama akarudia uhalisia wake wa kikeHaya ndio matatizo ya kujiingiza kwenye vitu bila kufikiri matokeo yake....
Kuna jamaa aliwai kusema yanayo kutokea leo ni matokeo ya matendo yako ya huko nyuma hata kama umesahau...
Sasa chemical alijigeuza tom boy muda mrefu na jamii ikamjua ni tom boy na hata mwili wake ulikubali hali hiyo na sidhani kama alijua kama swala hilo litakuja kumsumbua....
Sasa imefika wakati ana juta kuwa tom boy ana hitaji kuwa mwanamke ndio maana ana jaribu kufanya kila jambo ili aonekane ni mwanamke kweli na anapo elekea naona akijidhalilisha ....
Sio kila kitu huwa kina rudi.... ulitumia miaka 20 kuwa mwanaume sasa unategemea utatumia muda gani kurudi kwenye uanamke?Sio mbaya kama akarudia uhalisia wake wa kike
Atabaki kuwa msichana tu
sawa mkuuAisee hahahaa
Sawa miss chaga