Msanii Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua japo ni mkali wa hiphop

Msanii Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua japo ni mkali wa hiphop

Dogo anazidi kupoteza tuuuu.... from hip hop to singeli lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Msanii wa hiphop Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua kwa kuwa watu wanamuona yeye ni mgumu kwakuwa anafanya mziki wa hiphop ngumu ila amethibitisha kuwa anaweza kucheza singeli kama wadada wengine.

Huyu naye tokea amepigwa vizuri na dudu na yule jamaa wake utom boy wote umeisha

Nampongeza aliyemfikisha kilelen huyu had kajua utamu wa dudu
 
Sio kila kitu huwa kina rudi.... ulitumia miaka 20 kuwa mwanaume sasa unategemea utatumia muda gani kurudi kwenye uanamke?
Mkuu wapo walio rud na had leo ni warembo na wengine wameolewa namkumbuka mmoja sasa Hiv kazaa na ni bonge la mrembo

Ukitaka tom boy abadilike mpe dudu vizur na muandae kisaikolojia ajue yeye ni mwanamke
 
Haya ndio matatizo ya kujiingiza kwenye vitu bila kufikiri matokeo yake....
Kuna jamaa aliwai kusema yanayo kutokea leo ni matokeo ya matendo yako ya huko nyuma hata kama umesahau...
Sasa chemical alijigeuza tom boy muda mrefu na jamii ikamjua ni tom boy na hata mwili wake ulikubali hali hiyo na sidhani kama alijua kama swala hilo litakuja kumsumbua....
Sasa imefika wakati ana juta kuwa tom boy ana hitaji kuwa mwanamke ndio maana ana jaribu kufanya kila jambo ili aonekane ni mwanamke kweli na anapo elekea naona akijidhalilisha ....

We jamaa acha kuchukulia kila kitu serious. Halafu hapo mi sioni anajililisha vipi!
 
Haya ndio matatizo ya kujiingiza kwenye vitu bila kufikiri matokeo yake....
Kuna jamaa aliwai kusema yanayo kutokea leo ni matokeo ya matendo yako ya huko nyuma hata kama umesahau...
Sasa chemical alijigeuza tom boy muda mrefu na jamii ikamjua ni tom boy na hata mwili wake ulikubali hali hiyo na sidhani kama alijua kama swala hilo litakuja kumsumbua....
Sasa imefika wakati ana juta kuwa tom boy ana hitaji kuwa mwanamke ndio maana ana jaribu kufanya kila jambo ili aonekane ni mwanamke kweli na anapo elekea naona akijidhalilisha ....
Huyu ni wakutafuta Aisee, inawezekana papuchi yake iko na utamu amazing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom