Msanii Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua japo ni mkali wa hiphop

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Msanii wa hiphop Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua kwa kuwa watu wanamuona yeye ni mgumu kwakuwa anafanya mziki wa hiphop ngumu ila amethibitisha kuwa anaweza kucheza singeli kama wadada wengine.

 
Haya ndio matatizo ya kujiingiza kwenye vitu bila kufikiri matokeo yake....
Kuna jamaa aliwai kusema yanayo kutokea leo ni matokeo ya matendo yako ya huko nyuma hata kama umesahau...
Sasa chemical alijigeuza tom boy muda mrefu na jamii ikamjua ni tom boy na hata mwili wake ulikubali hali hiyo na sidhani kama alijua kama swala hilo litakuja kumsumbua....
Sasa imefika wakati ana juta kuwa tom boy ana hitaji kuwa mwanamke ndio maana ana jaribu kufanya kila jambo ili aonekane ni mwanamke kweli na anapo elekea naona akijidhalilisha ....
 
Sio mbaya kama akarudia uhalisia wake wa kike
Atabaki kuwa msichana tu
 
Macho yangu yameenda kwa huyo aliyevaa dress ya kijani sijui kwanini hayamuoni chemical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…