miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Ha ha ha hayaYani kama vya baikoko mkuu
Natamani nione ata clip kama ya chemical ili ni prove mkuu.Ndiyo mkuu sana
Huyu naye tokea amepigwa vizuri na dudu na yule jamaa wake utom boy wote umeishaMsanii wa hiphop Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua kwa kuwa watu wanamuona yeye ni mgumu kwakuwa anafanya mziki wa hiphop ngumu ila amethibitisha kuwa anaweza kucheza singeli kama wadada wengine.
Mkuu wapo walio rud na had leo ni warembo na wengine wameolewa namkumbuka mmoja sasa Hiv kazaa na ni bonge la mremboSio kila kitu huwa kina rudi.... ulitumia miaka 20 kuwa mwanaume sasa unategemea utatumia muda gani kurudi kwenye uanamke?
natafuta mtu wa kunichukua video
Haya ndio matatizo ya kujiingiza kwenye vitu bila kufikiri matokeo yake....
Kuna jamaa aliwai kusema yanayo kutokea leo ni matokeo ya matendo yako ya huko nyuma hata kama umesahau...
Sasa chemical alijigeuza tom boy muda mrefu na jamii ikamjua ni tom boy na hata mwili wake ulikubali hali hiyo na sidhani kama alijua kama swala hilo litakuja kumsumbua....
Sasa imefika wakati ana juta kuwa tom boy ana hitaji kuwa mwanamke ndio maana ana jaribu kufanya kila jambo ili aonekane ni mwanamke kweli na anapo elekea naona akijidhalilisha ....
karibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wabongo nimewashindwa dadekiKiuno kigumu kama mlango
Huyu ni wakutafuta Aisee, inawezekana papuchi yake iko na utamu amazingHaya ndio matatizo ya kujiingiza kwenye vitu bila kufikiri matokeo yake....