TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Huna hata DEATH REPORT kutoka kwa QUALIFIED MEDICAL EXPERT lakini umeshahitimisha kafa kwa HEART ATTACK!!

Na kwa jinsi nyie mlivyo MAGOIGOII na MAZEZETA, ni rahisi sana mtu kufanyiwa jambo baya lakini pakawepo watu wa kusema ni HEART ATTACK.

Kuna wale MATAPELI wakatuambia MAGUFULI sijui HANA BETRII... UPUMBAFU!!

Tukiwa na taifa lenye MAHOVYOHOVYO WENGI huwezi kujua hata ukweli ni upi.

Kukariri kariri tu, ati CARDIAC ARREST [emoji50][emoji50]
[emoji1787][emoji1787] umenena vyema eti kahitimisha kabisa
 
Yani Mimi ule wimbo wa Ma Gang navyoukubali ..dah!!
Apumzike tu mwamba.
 

Attachments

  • 40903ABC-42E4-4BF0-8952-B06848E2E137.jpeg
    40903ABC-42E4-4BF0-8952-B06848E2E137.jpeg
    100 KB · Views: 10
Wewe Unalazimisha mawazo yako watu wayaamini , vyote vinawezekana Kwanza huwez tenganisha uchawi , freemason na mziki huwezi , kama Unabisha Anza kuimba Leo upate hitsong uone , hata ulilosema heart attack pia inawezekana , lakn lazima tureview health record yake kama alikuwa na hyo shida , 27 years too young
Unacho sema kinaniingia akilini, huwez hit hata sikumoja bila mganga ndele [emoji1787][emoji1787]
 
Dahh, mwana alidondoka mara ya 1 akainuka, mara ya 2 naona ndo ikawa 1 kwa 1, R.I.P CostaT
Mimi nilishindwa kuelewa alivyo dondoka mara ya kwanza asinge acha tu? Maana naimani kunakitu hakikua sawa kabisa ila aliendelea.
 
Ww mwenye akili,umekuja kwenye comment ya mpumbavu kufanya nn Kama na ww siyo mpumbavu mwenzangu?
Fungua kanisa jf pia ww kama ni mtu wa dini umepitia nyuzi za msanii kutafuta nn? Ww nenda kwenye nyuzi za injili hii ya msanii haikuhusu.
 
Nimeona video alivyodondoka ni kifafa kabisa alivyoanguka chin akaanza kukakamaa sasa sijui aliacha dawa au siku imefika tu tu
Sina uhakika na hicho kifafa maana mtu anakifafa adondoke mara ya kwanza pale stejini alafu arudie tena chenyewe huwa kikija kimekuja mazima.
 
Wanasema alikuwa hatumii kikevi chochote kile kwa sababu alikuwa ana kifafa ,kama umeona video oale chin alikakamaa kama watu wa kifafa wanavyokuwa,nadhan kungekuwa na mtu wa afya angemsaidia kama daktari wake kwa sababu alikuwa anajijua ana shida hiyo ,na hizo kelele na taa
Mtu wa kifafa utamshika wewe?
 
Fungua kanisa jf pia ww kama ni mtu wa dini umepitia nyuzi za msanii kutafuta nn? Ww nenda kwenye nyuzi za injili hii ya msanii haikuhusu.
Nitolee kiherehere chako,umetumwa nn?Kwanwakati naandika nilikushirikisha au unatafuta Kiki?weee vpi???kwendraaaaaaaaaaaa
 
Nitolee kiherehere chako,umetumwa nn?Kwanwakati naandika nilikushirikisha au unatafuta Kiki?weee vpi???kwendraaaaaaaaaaaa
Kwenda mwenyewe unajifanya mtu wa Mungu kumbe hamna kitu.
 
Muonekano wangu Yes naweza kua pastor Ila sihitaji kua pastor wa mchongo, na sina MPANGO huo nitabaki kua mtazamaji tu yaan mtu anakushawishi kwamba wewe una kitu ndani na ukichanganya na muonekano unafaa kabisa kua pastor aisee Mimi niwe pastor?
Tuungane tufungue kanisa nina mtaji wa kiwanja na hela za kujenga
 
Back
Top Bottom