TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

[emoji1787][emoji1787] umenena vyema eti kahitimisha kabisa
 
Yani Mimi ule wimbo wa Ma Gang navyoukubali ..dah!!
Apumzike tu mwamba.
 
Unacho sema kinaniingia akilini, huwez hit hata sikumoja bila mganga ndele [emoji1787][emoji1787]
 
Dahh, mwana alidondoka mara ya 1 akainuka, mara ya 2 naona ndo ikawa 1 kwa 1, R.I.P CostaT
Mimi nilishindwa kuelewa alivyo dondoka mara ya kwanza asinge acha tu? Maana naimani kunakitu hakikua sawa kabisa ila aliendelea.
 
Ww mwenye akili,umekuja kwenye comment ya mpumbavu kufanya nn Kama na ww siyo mpumbavu mwenzangu?
Fungua kanisa jf pia ww kama ni mtu wa dini umepitia nyuzi za msanii kutafuta nn? Ww nenda kwenye nyuzi za injili hii ya msanii haikuhusu.
 
Nimeona video alivyodondoka ni kifafa kabisa alivyoanguka chin akaanza kukakamaa sasa sijui aliacha dawa au siku imefika tu tu
Sina uhakika na hicho kifafa maana mtu anakifafa adondoke mara ya kwanza pale stejini alafu arudie tena chenyewe huwa kikija kimekuja mazima.
 
Mtu wa kifafa utamshika wewe?
 
Fungua kanisa jf pia ww kama ni mtu wa dini umepitia nyuzi za msanii kutafuta nn? Ww nenda kwenye nyuzi za injili hii ya msanii haikuhusu.
Nitolee kiherehere chako,umetumwa nn?Kwanwakati naandika nilikushirikisha au unatafuta Kiki?weee vpi???kwendraaaaaaaaaaaa
 
Nitolee kiherehere chako,umetumwa nn?Kwanwakati naandika nilikushirikisha au unatafuta Kiki?weee vpi???kwendraaaaaaaaaaaa
Kwenda mwenyewe unajifanya mtu wa Mungu kumbe hamna kitu.
 
Muonekano wangu Yes naweza kua pastor Ila sihitaji kua pastor wa mchongo, na sina MPANGO huo nitabaki kua mtazamaji tu yaan mtu anakushawishi kwamba wewe una kitu ndani na ukichanganya na muonekano unafaa kabisa kua pastor aisee Mimi niwe pastor?
Tuungane tufungue kanisa nina mtaji wa kiwanja na hela za kujenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…