Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang

Ni underground mbona hata ngoma yake hata moja siifahamu
 
Ahsante kwa kunifahamisha ndugu, ngoja nicheki hizo songi possible nasikia ila muimbaji simjui
Kuna moja alifanya inaitwa "Turn up" ft Mwanafa ili hit Sana ndio wimbo wake uliotamba Sana kuliko wimbo wake wowote na ndio wimbo kipindi hicho ulivyotoka ulifunika nyimbo zote zilizotoka kipindi hicho so anza na Huu wimbo kusikiliza alafu nipe mrejesho.
 
Killy hana nyota ila msanii mzuri. Hata kabla ya kujiunga kings ana wimbo flani video ilitengenezwa an nisher mkali lakini haukuwika
Huyu Killy anayeburuza chart ya bongo sasa hivi ni mwingine nini?? Au sijakuelewa
 
Huyu Killy anayeburuza chart ya bongo sasa hivi ni mwingine nini?? Au sijakuelewa
Chati gani mkuu? Killy ni msanii ambaye mtu akiulizea ataje wasanii 20 wengi wala hawawezi mkumbuka. Hivyo, bado sana. Sema ni msanii mzuri ila ndo nyota
 
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…