Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau
Komediani maarufu Afrika ya Mashariki David Mwabili almaarufu Inspekta MWALA amelazwa hospitalini baada ya kupata ajali ya gari barabara ya Mombasa jijini Nairobi.Hata hivyo taarifa zinasema hali yake inaendelea vizuri.
Source: The Citizen TV