Alijichagulia upuuzi sasa akubari matokeo mabaya mi hainishangazi yeye kuwa kichaa
Ila inakushangaza nini?
jinsia yake ingekuwa kama ya ray c ,mkuu angekuwa ameshamsaidia,pole sana DaZ baba
asinifanyie kama Barua
Asababishe nijaribu kujiua
Anipe mapenzi nimpe mapenzi
naye ayaenzi asinifanyie ushenzi...