toto zuli
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 265
- 279
Msanii wa miondoko ya hip hop alimaarufu Daz Mwalimu au daz baba...amechanganyikiwa na kuwa kichaaa hii inavyosemekana ni kuwa ni bangi na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Inavyosemekana alianza kuchanganyikiwa akiwa Morogoro alipokwenda nyumbani kwa Afande Sele na kuanza kuropoka maneno ya ajabu ajabu...mara kukimbia ovyoo kuongea maneno ambayoo hayaelewekiii mara sasa anaonekana majalalani.
Ila wadau wa karibu wanavyosema kuwa madawa ya kulevya aliokuwa anatumia bangi maana alikuwa kama teja sasa ni kichaaaa.
source;blogs zote,mpekuzi,special na magazeti ya burudanii