Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
sasa ni zamu ya wasanii natamani siku nyingine kusikia Marijan rajabu primary school au King Majuto Road,au Ali Kiba Hospital
Very True
D kafungua njia, na wengine nadhani watafuata.Very True
Hata kiba aliwahi kudhamini shule huko kusini, sema tu sio mtu wa kujionesha.
Hata kiba aliwahi kudhamini shule huko kusini, sema tu sio mtu wa kujionesha.
- Ila kwanza katanguliza bati 15068M
Not a joke! Hongera kwake.
hata alikiba amekabidhiwa shule huko kigoma inaitwa king kiba ila hapendi show off tu.