Msanii Diamond akabidhiwa shule Sumbawanga,sasa kuitwa jina lake "Diamond"

Msanii Diamond akabidhiwa shule Sumbawanga,sasa kuitwa jina lake "Diamond"

Diamond ni aina ya madini

Kijana kiki zimemjaa angewaambia jina lake halisi
 
Haters lazima watafute kitu negative tu.
 
Hakuna kitu sikipendi kama kuita mitaa au barabara majina ya watu ambao hawana impact kwa vizazi vyetu Sam Nujoma,Namndi Azikiwe,Mwai Kibaki Road,wakati tuna majembe yetu Mkwawa,Chief Mareare,Chief Machemba,Mwinyigumba,King Majuto,Steve Kanumba,Diamond,Ali Kiba,Marijan Rajab,Tiex Mosh William,Ngurumo,Moses Nnauye,Kambona yan icons kibao tunawaacha wanapotea tu hivi hivi,wasomi wapo kibao wakina Shivji kwa nini Iwe Nkurumah hall na sio Temeke Sanga Hall? hivi kuna anayemjua aliyetunga wimbo wa taifa,Tazama Ramani,Tanzania Tanzania? tumeshindwa hata kuwapa majina yao kwenye madaraja kama Mfugalle bridge? hizi ndo urithi zenyewe za taifa jamani sio kila siku Mkapa bridge,mkapa tower,BW Mkapa high school what a selfish.....
 
Kwanini shule hiyo isiitwe naseeb abdul ambalo ni jina lakehalisi
Lingekuwa na mvuto si angelitumia kwenye muziki? jina lake halisi ni lile alilojichangulia mwenyewe na sii yale aliyopewa na wazazi wake. Unapokuwa chini ya miaka 18, unakuwa mali ya wazazi, utafanya watakayo, utaishi hobi zao hata kama huzipendi, utatumia jina waliokupa hata kama halikufurahishi. Lakini unapovuka 18, unakuwa mtu mwingine, unajipambanua kwa hobi zako, marafiki zako na hata waweza kubadili majina ya utotoni uliopewa na wazazi na ukajiita kitu chochote kinachokuvutia wewe.
 
Kibao kimeandikwa shule imefunguliwa na Mwanamuziki "Abdul Naseeb Juma" Diamond platnums.
Baada ya ufunguzi wenyeji wako wameomba shule iitwe jina lake " Diamond Platnumz" shule ya msingi.!!

Je bado huoni ni kitu cha maana kwako?
Diamond ni aina ya madini

Kijana kiki zimemjaa angewaambia jina lake halisi
 
Kilichopelekea Diamond kukabidhiwa hiyo Shule ni kwavile walikua wamepungukiwa hizo 68 M au kuna sababu nyingine? nauliza tu,

Hongera Diamond kwa kukubali hilo na kwa mchango wako,safi sana,shule hiyo itafanya ukumbukwe na vizazi vijavyo hata kama wajao hawatokuona ila jina lako litakuwepo likiishi.
 
Diamond ni aina ya madini

Kijana kiki zimemjaa angewaambia jina lake halisi
wengi wanamjua kwa jina la kisanii diamondplatnumz...na ibaki hivyo,kwa jina lake halisi itakuwa rahisi kusahaulika kama ndo yeye alikusudiwa...jina lake la kisanii ndo litaishi milele na milele...mfano mzuri 2pac, bob marley, P.I.G, etc.
 
This could be healthier than Niki nemu
kwa nafasi yake, nickname is best thn his real name...wengi wanamjua kwa jina la kisanii diamondplatnumz...na ibaki hivyo,kwa jina lake halisi itakuwa rahisi kusahaulika kama ndo yeye alikusudiwa...jina lake la kisanii ndo litaishi milele na milele...mfano mzuri 2pac, bob marley, P.I.G, etc
 
Back
Top Bottom