This could be healthier than Niki nemuKwanini shule hiyo isiitwe naseeb abdul ambalo ni jina lakehalisi
Hivi sasa hatumlinganishi na Kiba huyo kashindwa competition asahiv tunamlinganisha na Clouds......Hata kiba aliwahi kudhamini shule huko kusini, sema tu sio mtu wa kujionesha.
sawaMbona Ali Kiba alipewa Uwanja wa ndege hajawahi kusema.
Lingekuwa na mvuto si angelitumia kwenye muziki? jina lake halisi ni lile alilojichangulia mwenyewe na sii yale aliyopewa na wazazi wake. Unapokuwa chini ya miaka 18, unakuwa mali ya wazazi, utafanya watakayo, utaishi hobi zao hata kama huzipendi, utatumia jina waliokupa hata kama halikufurahishi. Lakini unapovuka 18, unakuwa mtu mwingine, unajipambanua kwa hobi zako, marafiki zako na hata waweza kubadili majina ya utotoni uliopewa na wazazi na ukajiita kitu chochote kinachokuvutia wewe.Kwanini shule hiyo isiitwe naseeb abdul ambalo ni jina lakehalisi
sponsors68M
Not a joke! Hongera kwake.
Hata kiba aliwahi kudhamini shule huko kusini, sema tu sio mtu wa kujionesha.
Diamond ni aina ya madini
Kijana kiki zimemjaa angewaambia jina lake halisi
wengi wanamjua kwa jina la kisanii diamondplatnumz...na ibaki hivyo,kwa jina lake halisi itakuwa rahisi kusahaulika kama ndo yeye alikusudiwa...jina lake la kisanii ndo litaishi milele na milele...mfano mzuri 2pac, bob marley, P.I.G, etc.Diamond ni aina ya madini
Kijana kiki zimemjaa angewaambia jina lake halisi
kwa nafasi yake, nickname is best thn his real name...wengi wanamjua kwa jina la kisanii diamondplatnumz...na ibaki hivyo,kwa jina lake halisi itakuwa rahisi kusahaulika kama ndo yeye alikusudiwa...jina lake la kisanii ndo litaishi milele na milele...mfano mzuri 2pac, bob marley, P.I.G, etcThis could be healthier than Niki nemu
Really kama unamuona yuko vizuri kichwani basi we na yeye mna mataizo makubwaUkiachana na vyupi, dogo yuko vizuri kichwani.