Msanii Diamond akabidhiwa shule Sumbawanga,sasa kuitwa jina lake "Diamond"

Ok
 
Really kama unamuona yuko vizuri kichwani basi we na yeye mna mataizo makubwa
Mkuu labda ungeelezea hapa,kwanini unasema/unaamini yakua hayupo vizuri kichwani?

Pengine muhusika yumo humu na huenda akajirekebisha kupitia maoni yako kama kweli ataridhika nawe kua ni kweli kwa hayo utakayo yasema yeye hayupo vizuri kichwani.
 
Kula uliwe , wewe unataka ule wewe tuuu kuliwa Utaki?
 
68m ni balaa aiseee, Hongera zake kwa kipindi hiki vyuma vimekaza hzo ni pesa mingi sana
 
Safi sana waliopata idea ya kumshirikisha Diamond kwenye ujenzi wa shule hiyo!
Wangesema waendelee kuchangishana wananchi hiyo shule kukamilika kwake ingekua ni hadithi!!
Mfano mdogo ni Ujenzi wa maabara tatu kwa shule za sekondari za Serikali ambapo agizo lilitolewa kipindi cha JK lakini hadi leo bado kuna shule hazijakamilisha
 
Amber ruty secondary school.
Imekaaje hii wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…