Msanii Diamond apeperusha tena bendera ya Tanzania

sindbari

Senior Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
156
Reaction score
43
Hakika huyu kijana anastahili pongezi kubwa kwa kupeperusha vema bendera ya Tanzania…Ameshinda tena tuzo za IRAWMA zinazo fanyika nchini Marekani…kupitia nyimbo yake mdogomdogo katika kipengele cha mburudishaji bora wa Afrika wa mwaka(best african entertainer)
 
Ngoja wenyewe "wafia mondi" wao waje ....napita tu
 
Hakika anastahili pongez. God bless him
 

Hiyo bendera alikabidhiwa na nani akaipeperushe?
 
Safi kijana wetu, wengine wasome toka kwake waache majungu, mashabiki tunataka kazi sio umbea, Live long young tz'an PLATINUMZ
 

Kina kiba wajipange sana kwa dmond
 
Hongera sana kijana juhudi zako ndiyo zinakufikisha hapo ulipo. Endelea kupiga kimya tu we waonyeshe vitendo wao wanapiga maneno wewe unapiga chapaa. GOO GOO GOO DIAMOND WAKATI WAKO NDO HUU.
 
Hongera shemeji wa taifaaa!!!!
 
Diamond anawawakilisha wananchi wake wa wasaf, si rais bhana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…