sindbari
Senior Member
- Mar 28, 2014
- 156
- 43
Hakika huyu kijana anastahili pongezi kubwa kwa kupeperusha vema bendera ya Tanzania
Ameshinda tena tuzo za IRAWMA zinazo fanyika nchini Marekani
kupitia nyimbo yake mdogomdogo katika kipengele cha mburudishaji bora wa Afrika wa mwaka(best african entertainer)