Msanii Diamond platinum alimrudia Wema ili kuboresha kiingereza chake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Huu ni utafiti wangu na maoni yangu mimi ( Money Stunna)

Utafiti huu umeangalia wanawake mbalimbali ambao msanii diamond alikuwa nao kwa kipindi tofauti hakuna ambao aliomsaidia zaidi ya Wema tu.

Diamond mwenyewe amekuwa akikiri ilo kufundishwa ngeli na wema.

Pia diamond hana mapenzi ya kweli kwa wema kumbuka walivyoachana alilalamika kumfumania wema mara nyingi na ata na rafiki zake.

Pia aliwai kumrekodi wema na kuirusha kwenye mitandao.

Sasa hivi diamond amekuwa msanii wa kimataifa hivyo uitwa sana kwenye interview msaada pekee ni wema kwa sasa.

Wema uwa anapenda sana kuongea english muda wote niliwai kukutana naye Malaysia, Kuala lumpur 2008.Kipindi hicho anasoma Nirai nje kidogo ya kuala lumpur.

Ni mdada mzuri. Mpole anayependa kuongea english muda wote, akiongea kiswahili basi ujue ni kiswaenglish. Ukiwa na wema lazima ujue english.

Hivyo diamond akiiva yani kuwa fluent na english ataanza tena kurukaruka.

Huu ni utafiti wangu mie stunna kwa uzoefu na uchambuzi pia kuwasoma ma celebrities
 
Last edited by a moderator:
hivo akijua ngeli vizuri atammwaga?
itabidi ili uhusiano udumu awe ana mfundisha kidogo kidogo aelewe miaka 100...
 
Eeeee kumbe na mimi nikikaa karibu na mpenzi wangu ntamwaga ung'eng'ee aiseeeeee
 
Money Stunna ushawahi kumsikia Penny akiongea kiingereza? ushawahi angalia interview za Penny na wasanii wa nje kipindi kile cha x-live wakiandaa matamasha ya wasanii wa nje na penny akiwainterview? ushaangalia interview ya karibuni Penny akihojiwa bongo five...?

Hiyo sio sababu Penny naye anajua sana tu kupasua mayai tena with good sound kama brother wake Saigon, sema Diamond alikiri kufundishwa na wema english na kweli alimfundisha the reason may be alianza na Wema then Penny ila kusema kamrudia Wema kisa english Penny anajua sana kiingereza ivyo ingekuwa nia kujua eglish angefundishwa hata na Penny na angefundishwa zaidi maana Penny ni mtangazaji na kesha interview hata wasanii wa nje so angekuwa anampa hata mazoezi.

Labda useme wamerudiana ili azidi kupata kiki au jina lizidi na story ziendelee ila hiyo sababu ya kupasua mayai siiafiki hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:

Basi tuseme alianza grade one na penny sahivi yupo grade faivu ikalazimu teacher kuchange yule tifah wa chinini atampokea madam mazima kijana akifika grade seveni
 
Basi tuseme alianza grade one na penny sahivi yupo grade faivu ikalazimu teacher kuchange yule tifah wa chinini atampokea madam mazima kijana akifika grade seveni

Hahaaaaaaw
 
Hata Mimi nataka star wa kunifundisha uyai. Sijui penny atakubali? Manake wema tayari karudiana na platinumz!
 
Kwahiyo wema ndio mwalimu wa almasi ila nija ameenda bila ticha c itakua patashika babu tale nae walewale,itabidi wameze kamusi kujibu maswali
 
Hapa ninachokiona ni kwamba, baada ya Money Stunna kuona threads za Warumi zimetumika kwenye magazeti ya udaku, kiroho cha kwanini (?) kimemsimama na yeye anataka threads zake zitokelezee huko magazetini.

Ushauri: jitahidi utafanikiwa.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
uko kwenye katiba kumekushinda si uliaga majukwaa mengine hadi katiba ipatikane,pia mimi sipiganii habari yangu iandikwe kwa gazeti la udaku sababu silipwi na wale wanauza.Mi nafanya kwa mapenzi yangu binafsi pia ata useme nini huwezi kunikatisha tamaa
 
Kwa jinsi ninavyokusoma hapa jf na jinsi ninvyokuona kwenye picha unazotupia humu, nakushauri usijaribu kwenda Uganda, sheria zao zitakubana sana

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi ninavyokusoma hapa jf na jinsi ninvyokuona kwenye picha unazotupia humu, nakushauri usijaribu kwenda Uganda, sheria zao zitakubana sana

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

nakupuuza kama umetumwa kunitafutia ban umekula za uso mimi siyo mtu wa kutukana ata uniseme vibaya,hivyo unapoteza muda wako,nenda kalale
 
nakupuuza kama umetumwa kunitafutia ban umekula za uso mimi siyo mtu wa kutukana ata uniseme vibaya,hivyo unapoteza muda wako,nenda kalale

Hapa ni asubuhi ndio kwanza nimeamka, having breakfast with jf on iPad .

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Hapa ni asubuhi ndio kwanza nimeamka, having breakfast with jf on iPad .

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

We muwachee mwenzio amekuzidi sixpack eeee
 
Hahhhahhha umehamiaa na huku lo vipi Tanganyika inarudii??
 
Hahhhahhha umehamiaa na huku lo vipi Tanganyika inarudii??

Tanganyika ngumu aseee, magamba hayataki kuisikia halafu ndio yako mengi.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…