Msanii Diamond platinum alimrudia Wema ili kuboresha kiingereza chake

Tanganyika ngumu aseee, magamba hayataki kuisikia halafu ndio yako mengi.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

Kumbee lakin wananchi si tunatakaa au vipiii kwa hiyo utafanyajee kutusaidiaa huko!!!!!
 
Jaman mmeona huu mwendelezo wa project. Haya ni yaliyojiri #CHOMVA
 
Attachments

  • 1417301689306.jpg
    33 KB · Views: 482
  • 1417301712014.jpg
    43.2 KB · Views: 442
Hakuna kurudi kwa Wema wetu. Muache aendelee kuboronga. Leo amejing'ata kiingilishi Kama yuko ukweni vile
 
Mi napenda waishi kwa upendo siyo kimaslahi au kupata umaarufu.

Kama wanapendana ni sawa ila wanaendana sababu wote wana list ndefu

Unapenda mapenzi ya wenzako kama kadinda?..halafu eti unajiita stuna.. mzima kweli wewe au nawe wali nazi?
 
Unapenda mapenzi ya wenzako kama kadinda?..halafu eti unajiita stuna.. mzima kweli wewe au nawe wali nazi?

we mburula umekuja kufanya nini umu kwenye jukwaa la celebrities ?

nenda jukwaa lako la siasa ukapate ugongwa wa moyo utuache.mijitu mingine sijui vipi.Unajua kabisa kabisa jukwaa ili la vimbwanga vya celebrity harafu unadandia treni kwa mbele.Usisababishe niongee vibaya
 
Mbona wasanii kibao tu hawajui kutema yai?? si lazima sana ila ni muhim na atajua tu mda ukifika, bila yai kapata tuzo tatu am proud of Diamond jamani kajitahidi sana tumpongeze tu kwa hapo alipofika.
 
siyo atajua sasa hivi ashajua anatema ngeli safi .Mtoto wa Tandale ana juhudi sana.pongezi kwake na management yake yote babu tale na said fellah
 
Hakuna kurudi kwa Wema wetu. Muache aendelee kuboronga. Leo amejing'ata kiingilishi Kama yuko ukweni vile
English sio lugha ya Diamond, kwake kikubwa ni hiki:
KWA mara nyingine, kijana hajatuangusha.... aaahh, na leo tena nyama, mnatuumiza pua jamani!!!!

http://channelo.dstv.com/2014/11/choamva14-winners/
 
Unasemaje Stuna? nikuachie jukawaa Stuna? ahh Stuna bana!.. Punguza basi kulalamika na kubana sauti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…