AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
JF,..
Yule msanii na bingwa wa miondoko ya Afro pop music barani Afrika, Diamond yupo mbioni kuachia video zake 2 kwa mkupuo za nyimbo zake mpya, na inasemekana video hizo zimegharimu zaidi ya Tsh.milion 120 pia zote zimerokodiwa nje ya nchi kwa makampuni makubwa ya kimataifa,
My take:
ni vyema wasanii wadogo wa kibongo wangejaribu kukaa na Diamond ili kujifunza mambo mawili matatu ili nao waweze kuyafikia mafanikio analioyafikia msanii mwenzao Diamond.

upambe wa kijinga huu tuwekee hapa invoice ya matumizi ya hizo pesa, kama mafanikio ni kupiga picha na Nelly basi sawa.
Ebu tupishe apa na wewe huna mpya, yani mashabiki wa ndomo ni washamba na malimbukeni kama boss wao
Siamini mimi wanaojiita watu wa Diamond maana ni waongo hizo video zinaweza zisifike hiyo thamani.
Msanii bora wa Africa si ni davido ama?