AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
JF,..
Yule msanii na bingwa wa miondoko ya Afro pop music barani Afrika, Diamond yupo mbioni kuachia video zake 2 kwa mkupuo za nyimbo zake mpya, na inasemekana video hizo zimegharimu zaidi ya Tsh.milion 120 pia zote zimerokodiwa nje ya nchi kwa makampuni makubwa ya kimataifa,
My take:
ni vyema wasanii wadogo wa kibongo wangejaribu kukaa na Diamond ili kujifunza mambo mawili matatu ili nao waweze kuyafikia mafanikio analioyafikia msanii mwenzao Diamond.