Msanii Diamond Platnumz anunua private jet

Ananunua jet kisha anakaa kwenye kiwanja cha 25×25..No way
 
Ndege ya mapangaboi unaiita Jet hahaahaha elimu elimu elimu
 
Write your reply...
unadhani kumiliki private jet ni kama kula bagia..
 
Acheni kukuza vitu,hiyo ndege imekodishwa inatumika kwenye matangazo ya Show ya Wasafi Kenya basi.Sehemu gani wameandika hivyo,mbona mnalisha maneno ambayo yeye mwenyewe hajayatamka,
Acha jazba, lete document hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…