Tetesi: Msanii Diamond Platnumz (Dangote) aumbuka Kenya:

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
Anaandika Javan Samora-Kenya
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki kwa mashabiki, Akiongea kupitia kupitia kituo cha Redio cha Class FM wakati wa kutangaza uzinduzi wa cologne (Parfume )
yake mpya, Daimond ameacha story mbaya miongoni mwa Mashabiki wake Africa na Duniani kwa Ujumla,
Hata hivyo Mtangazaji wa kituo hicho Maina Kageni wa kipindi cha Morning showz amepotezea kwa kwa kuwaambia mashabiki (Fans) kiingereza ni kwa aajili ya mawasiliano wala sio kipimo cha ujuzi.

Mytake; Mh Dangote jaribu kujitathimini kwa mtazamo wangu hauendi vizuri sana kama mwanzo so kama muziki umekushinda fanya mengine ili usiipoteze hii branding yako, Hapa Tanzania umewavuruga sana fans wako kwa kumtetea Albert Bashite pamoja na kutupia instagram post ukitukana matusi ya ajabu ajabu, Jaribu kujitadhimini upya kama ndiwe "Diomond Platnumz) tuliyemfahamu au ndio umeota mapembe tukuongezee mkia. Achana na Siasa uchwara.



 
 
Do not be afraid a group of lion led by a sheep.But rather be afraid a group of sheep led by a lion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…