Tetesi: Msanii Diamond Platnumz (Dangote) aumbuka Kenya:

Anaandika Javan Samora-Kenya
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki kwa mashabiki, Akiongea kupitia kupitia kituo cha Redio cha Class FM wakati wa kutangaza uzinduzi wa cologne (Parfume )
yake mpya, Daimond ameacha story mbaya miongoni mwa Mashabiki wake Africa na Duniani kwa Ujumla,
Hata hivyo Mtangazaji wa kituo hicho Maina Kageni wa kipindi cha Morning showz amepotezea kwa kwa kuwaambia mashabiki (Fans) kiingereza ni kwa aajili ya mawasiliano wala sio kipimo cha ujuzi.

Mytake; Mh Dangote jaribu kujitathimini kwa mtazamo wangu hauendi vizuri sana kama mwanzo so kama muziki umekushinda fanya mengine ili usiipoteze hii branding yako, Hapa Tanzania umewavuruga sana fans wako kwa kumtetea Albert Bashite pamoja na kutupia instagram post ukitukana matusi ya ajabu ajabu, Jaribu kujitadhimini upya kama ndiwe "Diomond Platnumz) tuliyemfahamu au ndio umeota mapembe tukuongezee mkia. Achana na Siasa uchwara.

View attachment 498394
Wivu wa kike
 
Jamani, Diamond anajitahidi sana kwa kingereza ukichukulia sisi wa TZ wote tuko mbaya kwa kingereza. Wakenya ni watu wa zarau sana kwa wa TZ kwa kila kitu. Diamond anajitahid sana kuongea kama alikosea neno moja sishangai Kenyans ni tabia yao walikuwa wanatafuta tu upenyo wa kumshusha. kwanza wasingependa mtu maarufu kama yeye atoke TZ. I know kenyans, mawivu sana
 
Anaandika Javan Samora-Kenya
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki kwa mashabiki, Akiongea kupitia kupitia kituo cha Redio cha Class FM wakati wa kutangaza uzinduzi wa cologne (Parfume )
yake mpya, Daimond ameacha story mbaya miongoni mwa Mashabiki wake Africa na Duniani kwa Ujumla,
Hata hivyo Mtangazaji wa kituo hicho Maina Kageni wa kipindi cha Morning showz amepotezea kwa kwa kuwaambia mashabiki (Fans) kiingereza ni kwa aajili ya mawasiliano wala sio kipimo cha ujuzi.

Mytake; Mh Dangote jaribu kujitathimini kwa mtazamo wangu hauendi vizuri sana kama mwanzo so kama muziki umekushinda fanya mengine ili usiipoteze hii branding yako, Hapa Tanzania umewavuruga sana fans wako kwa kumtetea Albert Bashite pamoja na kutupia instagram post ukitukana matusi ya ajabu ajabu, Jaribu kujitadhimini upya kama ndiwe "Diomond Platnumz) tuliyemfahamu au ndio umeota mapembe tukuongezee mkia. Achana na Siasa uchwara.

View attachment 498394

Mbona haijalishi kuongea broken english..!! Sio lugha yake.....
Nyie waswahili mnamatatizo sana...Mzungu akiongea Broken Swahili, au Mnaigeria akiongea broken swahili hakuna neno, ila Diamond kuongea broken English ni tatizo...

Kwa kuwa siyo Mother tung haijalishi akikoswa kuongea....Muacheni kaka wa watu..wewe wa shetani....
 
Hii ya wakenya sio ujinga,ni upumbavu.Mbona wao wanaongea kiswahili kibovu na sisi tunajitahidi kiwaelewa?Mtu ambaye kiingelez n third or fourth language kwake lazima kutakuwa na vitu hatatamka sawa.Lakini pia kwa historia ya mond,siwezi kumshangaa akitamka vibaya.Ni wazi anajitahidi.
 
Mkuu sio kiswahili tu, hata hicho kiingereza wanachojifanya wanakijua nikiwasikiliza wanapoongea aibu naona mimi. Wakenya na wanaijeria ndio walewale tu
 
Umeleta haya yote hapa jamvini ukiwa na lengo gani? Unaonekana una chiki binafsi na Nasib mambo mengine umechapia tu - ndiyo baadhi ya Watanzania walivyo wivu tu hamna kingine. Kama wewe ni Mtanzania mzalendo uwezi kumkandia Mtanzania mwenzako kwa kushadidia upuuzi wa vyombo vya habari vya Kenya ambavyo ujui lengo lao ni nini - hata akili ya kutambua kwamba Wakenya walifanya hivyo makusudi wakiwa na lengo la kumfanya Nasib ajisikie munyonge kwani waliona ugumu gani kama wange conduct mahojiano kwa lugha ya Kiswahili wangekosa nini,mbona Rais wao (Uhuru Kenyatta) mikutano mingi anapo kutana na wananchi uzungumza kiswahili fasaha. Walimtegea Nasib ili wapate sababu za kumubamiza ndio walivyo, kwani Nchini Kenya nani ajui kuzungumza/kuelewa kiswahili hata kama ni cha kubabaisha?

Labda kwa kukuelimisha kidogo ni kwamba Mataifa yanayo jitambua Duniani uenzi lugha zao za Kitaifa siyo lugha za kigeni, niliwahi kuwambia hapa kwamba Waingereza ushangaa sana Nchi za Kiafrika zinaso diriki kusema eti lugha yao ya Kitaifa ni Kingereza!! - binafsi niliwahi kushuhudia kwa macho yangu huko Uingereza Mkenya akidhalilishwa na Mwingereza tulipo karibishwa kwenye chakula cha jioni, mwenyeji wetu huyo alitaka kujua culture za nchi wanako toka waalikwa mojawapo likiwa swali ya lugha zao za kitaifa i.e wanaelewana vipi wakati kila nchi ina makabila tofauti na lugha tofauti, tukajieleza - ilipofika zamu ya Mkenya aliposema eti National language ya Kenya ni kingereza mwenyeji wetu alishangaa kidogo - mwanzo Mkenya huyo alifikiri akisema hivyo basi Mwingereza atamuona wa maana, kumbe nikujidhalilisha - siwezi kurudia mwenyeji wetu alivyo mjibu Mkenya - sasa na sisi Waswahili wa hapa Tanzania tunarudia ulimbukeni wa kufikiri ukizungumza lugha ya kigeni flawlessly basi wewe una akili sana au hiyo tu inaonyesha umendelea - what does masterly of English gotta do in Music Industry??
 
Kwa kiwango chake cha elimu, Diamond anajitahidi sana. Asione aibu kununua vitabu vya watoto vya kiingereza vya hadithi fupifupi ili kujiimarisha zaidi. Pia afanye mazoez kwenye tenses.
 
Ni kweli Watanzania wengi tuna tatizo sana kwenye matumizi ya tenses, atujui ni wakati gani utumie tensi hipi na wapi?
 
Huwa namkumbuka sana Mr Nice ivi yuko wapi?
Sio kwamba Diamond atabaki juu milele lakini mambo aliyofanya mpaka sasa yanastahili pongezi. Hatua aliyopiga ni kubwa hakuna mwanamuziki ambaye amewahi kuifikia kwa Tanzania sasa sielewi unamfananishaje na Mr Nice? Kwani unavyosema Mr Nice alikuwa hivi unaweza ukatuonyesha kilichofanya Mr Nice akaanguka? Na unaweza ukatuonyesha how that pattern ipo pia kwa Diamond?
 
Umeleta haya yote hapa jamvini ukiwa na lengo gani? Unaonekana una chiki binafsi na Nasib mambo mengine umechapia tu - ndiyo baadhi ya Watanzania walivyo wivu tu hamna kingine. Kama wewe ni Mtanzania mzalendo uwezi kumkandia Mtanzania mwenzako kwa kushadidia upuuzi wa vyombo vya habari vya Kenya ambavyo ujui lengo lao ni nini - hata akili ya kutambua kwamba Wakenya walifanya hivyo makusudi wakiwa na lengo la kumfanya Nasib ajisikie munyonge kwani waliona ugumu gani kama wange conduct mahojiano kwa lugha ya Kiswahili wangekosa nini,mbona Rais wao (Uhuru Kenyatta) mikutano mingi anapo kutana na wananchi uzungumza kiswahili fasaha. Walimtegea Nasib ili wapate sababu za kumubamiza ndio walivyo, kwani Nchini Kenya nani ajui kuzungumza/kuelewa kiswahili hata kama ni cha kubabaisha?

Labda kwa kukuelimisha kidogo ni kwamba Mataifa yanayo jitambua Duniani uenzi lugha zao za Kitaifa siyo lugha za kigeni, niliwahi kuwambia hapa kwamba Waingereza ushangaa sana Nchi za Kiafrika zinaso diriki kusema eti lugha yao ya Kitaifa ni Kingereza!! - binafsi niliwahi kushuhudia kwa macho yangu huko Uingereza Mkenya akidhalilishwa na Mwingereza tulipo karibishwa kwenye chakula cha jioni, mwenyeji wetu huyo alitaka kujua culture za nchi wanako toka waalikwa mojawapo likiwa swali ya lugha zao za kitaifa i.e wanaelewana vipi wakati kila nchi ina makabila tofauti na lugha tofauti, tukajieleza - ilipofika zamu ya Mkenya aliposema eti National language ya Kenya ni kingereza mwenyeji wetu alishangaa kidogo - mwanzo Mkenya huyo alifikiri akisema hivyo basi Mwingereza atamuona wa maana, kumbe nikujidhalilisha - siwezi kurudia mwenyeji wetu alivyo mjibu Mkenya - sasa na sisi Waswahili wa hapa Tanzania tunarudia ulimbukeni wa kufikiri ukizungumza lugha ya kigeni flawlessly basi wewe una akili sana au hiyo tu inaonyesha umendelea - what does masterly of English gotta do in Music Industry??
 
upload_2017-4-20_12-20-48.png
 
Wakenya ny#*@o sana kwani wao hata hicho kiswahili wanakijua??? Ngoja nisiseme mengi
 
wakenya wanatabia za kimama sana....hiyo english wanajisifia ndo lugha yao??? ukoloni mambo leo tu nakujiona wajuaji pumbaf sana
 
Broke niggaz always hate!

Mara nyingi umaskini unaendana na chuki kwa waliofanikiwa. Watu wanatafuta mistake ndogo waponde ili nyoyo zao za wivu zipate faraja japo kwa muda.

Diamond ni game changer japo anamapungufu yake kama binaadamu. Tumuangalie kama inspiration hasa kwa vijana kuliko kumchukia
 
Unashangaa kijana wa tandale mwenye elimu ya kuunga unga kukosea kiingereza!!!!kuna jamaa ana PHD(ya kusomea si ya kupewa) kiingereza kinamsumbua! kwa kifupi kwenye suala la kuongea kiingereza tunatakiwa kujifunza toka kwa diamond: kukubali kujifunza bila kujali kiwango cha elimu wala kuona aibu unapokosea ndio msingi wa kujua hiyo lugha.
 
Back
Top Bottom