Tetesi: Msanii Diamond Platnumz (Dangote) aumbuka Kenya:

Wapite kushoto wakenya .mbona wao wanaongea broken Swahili??
 
Nimekuja speed kidogo nianguke. Yani kuumbuka kwa kukosea neno? Ebu acheni wenge nyie viumbe wa ajabu.
 
Wakenya nao hawana dogo?By the way english sio lugha yetu bwana
 
Reactions: BAK
 
lugha aina mashiko katika kumhukumu mtu, mbona wazungu wakija uku wanasuasua kuongea kiswahili vzuri....
uzi fyongo huu
 
Mkuu haya mashuti uliyopigwa ngoja mi nipite tu kwani nilitaka nitapike ila wakuu wenzangu TeamDangote washamaliza umebaki ndembendembe
 
Sasa hapo siasa imekujaje jamani?!wacha tu tuendelee kuwa maskini maana kiwango chetu cha ujinga ni cha hali ya juu sana!!
 
Hekima na busara ni kumrekebisha pale alipo kosea kwani humu si kunawajuzi wengi sana wa lugha sasa kwa nini mnashabikia pasina kumuonesha njia mh! Jamani Ndugu zangu watanzania tubadirike na tuwaze kusaidiana ili tufike sambamba kwani naamini hakuna mkamilifu chini ya jua angavu
 
mende kuangusha kabati ni habari ila kabati kumuangukia mende si habarii.. Mtu anamuambia Diamond ajirekebishee kivipi..Wewe unayempa Diamond ushauri maisha yako binafsi yanakushindaa
 
Wakati mwingine kama huna kitu cha kupost kaa na wanao mtazame Tom &Jerry, sio lazima upost, hapa mwenye matatizo ni wewe, wala sio Diamond, kwa post yako hii mwenye akili alishajua una chuki binafsi na Diamond ndo maana unaanza kuunganisha na mambo mengine ya kipuuzi wala hayahusiki kabisa na ishu ya kuongea kiingereza kibovu, isitoshe kwani kiingereza ndo nini hasa kwenye ustawi wa mtu, wachina asilimia 98 hawajui kiingereza umewazidi nini, wewe kiingereza unakijua maisha yako na Diamond unamkuta wewe? Pata muda wa kufikiri kabla hujaleta chuki zako humu.
 
Tokea huyu bwana mdogo ajifanye Team Bashite nimemdharau sana..ila asubiri ataona tu
 
Mchina, mjerumani, mfaransa, mkenya, n.k. akiongea broken english sawa. Mtanzania akiongea mbaya. Mkenya, mganda, mzambia, mzungu akiongea broken kiswahili sawa. Diamond piga kazi ulieleweka
 

Uko sahihi ata ivi naangalia hiyo Tom & Jelly lakini kwako wewe msanii wa kiwango cha kimataifa kupiga broken ni tatizo kubwa sana hasa kwa wenzetu inaweza ikampolute kabisa mbele ya mafans wake, Sasa kwenye hii inchi ya ahadi huwa hatuoni kabisa kwani naamini hata wewe ni walewale tu.
Unapokuwa wa kimataifa seriousness lazime iongezeki, Eti chuki sasa nini mimi au wakenya?
 
mende kuangusha kabati ni habari ila kabati kumuangukia mende si habarii.. Mtu anamuambia Diamond ajirekebishee kivipi..Wewe unayempa Diamond ushauri maisha yako binafsi yanakushindaa

Huwa namkumbuka sana Mr Nice ivi yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…