Msanii Diamond Plutnumz akutana na Katibu wa Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

Msanii Diamond Plutnumz akutana na Katibu wa Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
"Wakati Mzuri leo katika ofisi Ndogo za Chama na katibu wa NEC, Itika na Uenezi Mpya wa CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka.

Nimetumia wakati huo kumngata sikio juu ya matarajio yetu kwa chama na serikali katika sekta ya habari, sanaa na Burudani, ameniahakikishia changamoto zote zitafanyiwa kazi na tabasamu litazidi kuonekana.

Mwisho kama kijana nimefarijika kuona mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuamini vijana katika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama na serikali, Katibu mkuu wa CCM kijana, Mwenezi Taifa wa CCM kijana, hili lina maana kubwa.

katika hili na mpangeza sana na waomba vijana na watanzania wenzangu tumunge mkono Mhe. Samia Suluhu Hassani ili mazuri aliyopanga katika uongozi wake yaweze kutimia." Diamond Platinumz

IMG-20210528-WA0709.jpg
IMG-20210528-WA0697.jpg
IMG-20210528-WA0703.jpg
 
Baada ya Fred Vunjabei vijana wasaka fursa wameanza kukivamia chama , sa hv ukipata chance chukua mpunga tembea
 
Hamna kitu hapo huyo jamaa ni wa kuagizwa tu,mawazo kama kiongozi mwandamizi hanayo,ila ukimuagiza basi ni mtumwa mzuri sana.
 
Hao walioambatana na Diamond Platnum hawakujua hadhi ya ofisi wanakokwenda? Diamond na wale watoto wa Robert Mugabae hawana utofauti kabisa.
Robert Mugabe watoto wake wakoje?
 
Back
Top Bottom