Msanii Diamond Plutnumz akutana na Katibu wa Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

Msanii Diamond Plutnumz akutana na Katibu wa Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

Naona baada ya dada wa taifa kumuwekea ujumbe wake kule upande wa pili kuhusu fobusi kijana anajaribu kusawazisha .
 
Dogo anatakiwa avae pamba zenye rangi halisi ya chama ambazo ni alama ya CCM. Hizo nguo anazovaa no rangi ya chama gani tena? Be serious dogo. Aache ujuaji usio na tija!
 
𝙼𝚝𝚘𝚊 𝚖𝚊𝚍𝚊 𝚞𝚕𝚒𝚝𝚊𝚔𝚊 𝚊𝚙𝚒𝚐𝚎 𝚙𝚒𝚌𝚑𝚊 𝚗𝚊 𝚗𝚊𝚗𝚒?
 
Hao walioambatana na Diamond Platnum hawakujua hadhi ya ofisi wanakokwenda? Diamond na wale watoto wa Robert Mugabae hawana utofauti kabisa.
Kumbe na wewe umeona mkuu..
 
Kuna watu hujifanya ni wana mabadiliko sijui CHADEMA halafu wanashabikia wapuuzi kama hawa
 
USISAHAU KUMUELEZA CCM WAMPIGIE KURA KULE BET
 
Back
Top Bottom