GE2025 Msanii Dogo Janja autaka udiwani Kata ya Ngarenaro

GE2025 Msanii Dogo Janja autaka udiwani Kata ya Ngarenaro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Msanii wa Bongo Fleva Dogo Janja ametangaza nia ya kugombea udiwani Ngarenaro.

“Kata ya Ngarenaro nimezaliwa, nimekulia na Nimeishi sasa ni wakati wa Kuwatumikia Wananchi wenzangu na kushirikiana nao katika kusukuma Gurudumu la Maendeleo ya Kata yetu.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Nimejipima na kitafakari nimeona niwakati sahihi kwangu kutoa utumishi kwa wananchi wenzangi wa Ngarenaro.

Screenshot 2025-07-01 211050.png
 
Huyu dogo kamaliza la saba miaka si mingi iliyopita, lini amezijua siasa?
 
Namuona ni mdogo kiumri na mchanga kisiasa wamchague tu aweke rekodi ya diwani mdogo kiumri kuwahi kuchaguliwa nchini
 
Huu uchaguzi tunaomba chadema nao washiriki hivyo hivyo hata kama watapigwa sandukuni ili tuone watia nia na wagombea wengine toka chadema, kuna kitu cha kujifunza kwa watia na wagombea na hata washindi, kuna rekodi za ajabu tunataka tuone na tuandike
 
Kwangu mimi uchaguzi wa mwaka huu nauona ni wa rekodi za ajabuajabu kutokea tangu chaguzi za vyama vingi zianze. CCM wameanza kutuonesha baadhi ya rekodi hizo ndani ya chama chao. Tunatarajia kuona rekodi zingine kwenye vyama vingine vya ACT, CHAUMMA na vingine. Ni uchaguzi za rekodi za ajabuajabu mwanzo hadi mwisho, tuombe na CHADEMA washiriki ili kila mwananchi ashiriki uchaguzi huu na uwe wa haki na amani tutaona mengi ya kufurahisha na kushangaza
 
Back
Top Bottom