Kwangu mimi uchaguzi wa mwaka huu nauona ni wa rekodi za ajabuajabu kutokea tangu chaguzi za vyama vingi zianze. CCM wameanza kutuonesha baadhi ya rekodi hizo ndani ya chama chao. Tunatarajia kuona rekodi zingine kwenye vyama vingine vya ACT, CHAUMMA na vingine. Ni uchaguzi za rekodi za ajabuajabu mwanzo hadi mwisho, tuombe na CHADEMA washiriki ili kila mwananchi ashiriki uchaguzi huu na uwe wa haki na amani tutaona mengi ya kufurahisha na kushangaza